Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 247
Hao uliowataja sio wananchi wa Tanzania?Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.
Nimekuwa najiuliza sana na ninaomba tusaidiane majibu.
Kwanini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi hizo?
Je, wananchi hawayaoni anayofanya rais?
Maoni yangu mimi noti mpya tz:
Kama kuna sehem kitengo cha propaganda ccm kimefeli ni hapa... kwanini hawawahamishi na wananchi?
Hao uliowataja sio wananchi wa Tanzania?
Nahisi alimaanisha wale ambao sio viongozi kwa level ya siasa!Hao uliowataja sio wananchi wa Tanzania?
Analipwa 7 elfu atapata wapi huo uchungu mkuu?Ni watz lakin kwanini wabunge na madiwani tu ? huon kama hela zinapotea mkuu ? kodi za wananchi ? hauna hata uchungu ??
Aisee, sio polisi na tume (NEC)?Kuwa mwandishi halafu ushughulishi akili yako ni sawa na bure...hao madiwani na wabunge wanapoama ushawahi kuna kwenye box LA kura wanashindwa,wananchi wanamuunga mkono Rais Magufuli kupitia box LA kura.
Kwa mfano, HILI LA UKISOMA shule za PRIVATE hutapata mkopo elmu ya juu..!!! UNADHANI ANAWAAMBIA AKINA NANI? Hizo private ni za akina nani?Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.
Nimekuwa najiuliza sana na ninaomba tusaidiane majibu.
Kwanini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi hizo?
Je, wananchi hawayaoni anayofanya rais?
Maoni yangu mimi noti mpya tz:
Kama kuna sehem kitengo cha propaganda ccm kimefeli ni hapa... kwanini hawawahamishi na wananchi?
Wana asili yao sifa ya mtanzania kamili haruhusu kununuliwa mfano mwalimu nyerere ila wahutu wanajuana.Hao uliowataja sio wananchi wa Tanzania?
Kwani ulivyotaka kuhama wamekukatalia? Si unahama tu,Wananchi tunaunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu.Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.