KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
- Thread starter
-
- #101
Na tumechoka kweli,sasa hivi ni mwendo wakupiga na kusepa hakuna haja yao kuwalizisha.Maana unakuta wanalalamika hawalizishwi halafu wao kitandani hawajiwezi.Na bado una provide majukum mengine kama kawaida.Mwaka.2016 ni.madongo kwa kwenda mbele kwa maduu! bandika bandua.......wanaume tumechoka kulea pimbi
Kama kuna watu wapumbavu duniani basi ni baaadhi ya wamnaume, hawa wanawake tunaowaponda kila siku mitandaoni bila wao leo tusingekuwa hapa tulipo leo
HAHAHAHA USINIFANYE NIKAPALIWA SA HIIHahahaaaaaa....flora bana!
WAKATI WATU WANALAMBA NA WANANYOYA WANANYOYA KHAAAANamba 3 papuchi ina uchafu?? Kweli.? Namba 10 pia umechemka.?
Mkuu hongera kwa kumwambia ukweli,anafikili humu kuna mtu anamdharau mwanamke,hakuna anae wadharau bali tunawambia ukweli ili wabadilike.Acha kujipendekeza ili upate papuchi za bure. Baba nae ni wa muhimu katika kuleta kiumbe duniani.
I LOVE YOUWanatubeba tumboni miezi tisa
Wanatunyonyesha udogoni
Wanatuogesha na kututunza mpaka tunajitambua
~~~~tukishaanza kuota za chini tunajiona vidume na kuanza kuleta madharau Kama haya ~~~
yaani wao wanapenda kila kitu uanze wewe tuKwa nini mkuu unashangaa?.
Na bila sisi wao wasingekuepo.Kama kuna watu wapumbavu duniani basi ni baaadhi ya wamnaume, hawa wanawake tunaowaponda kila siku mitandaoni bila wao leo tusingekuwa hapa tulipo leo
Mama angu ana miaka zaidi ya 70,nahakika huu upumbavu haukuwepo wakunyonya dushe,Kipindi hicho ni msichana.Hivi na mama ako umeshakaa kumuuliza kama haya 10 uliyoorodhesha na yy anamfanyia baba ako au aliwafanyia bf zake enzi hizo..!?
Hasa hasa la kunyonya dushe labda wakati anaitafta ndoa..!?
Mkuu wewe ni wakike au kiume?
.
Je nani alizaliwa anajua?,kwa nini wao usipowaridhisha wanakwambia hajaridhika?.
Nani mwenye jukum la kuwafundisha?.
Kazi ya unyago na jando ni nini?,Hujiulizi kwenye vicheni pati wanaenda kufanyaje?.
Hatupo hapa kumkashifu mtu,tupo hapa kuambiana ukweli ili watu wabadilike?.
Samahani mkuu kama mada imekugusa lakini ndio ukweli huo.
SijaoaI am a man but naomba nikuulizeeee, "Umeoa?"
Huoni ID kuwa mimi ni mwanaume..!? Niwie radhi mdau.... na pia nani kakwambia ahaya mautundu hayakuepo..!? Hii mijambo ipo toka kipindi cha ujio wa mitume ndio mana kna kitu inaitwa SODOMA na GOMORA. Kwa sasa ni kwamba awareness imeongezeka na zoezi linafanyika kiuwazi sana bila staha wala kifichoMama angu ana miaka zaidi ya 70,nahakika huu upumbavu haukuwepo wakunyonya dushe,Kipindi hicho ni msichana.
Pole mkuu inaonekana unanyonya sana endelea.
Asante kwa mchangokiongoz hapo kidogo uwezo wako wa kufikiri umepooza,Wao kua wazazi wetu haimaanishi hawana mapungufu,kikubwa wayafanyie kazi.suala la ss kuwapo kupitia wao ni mpango wa MUNGU,kama isingekua ivo,MUNGU angefanya yake,kwani binaadam wa kwanza namaanisha Adam,mama ake nani??
Niuwie radhi mkuu.Huoni ID kuwa mimi ni mwanaume..!? Niwie radhi mdau.... na pia nani kakwambia ahaya mautundu hayakuepo..!? Hii mijambo ipo toka kipindi cha ujio wa mitume ndio mana kna kitu inaitwa SODOMA na GOMORA. Kwa sasa ni kwamba awareness imeongezeka na zoezi linafanyika kiuwazi sana bila staha wala kificho
kumbe mnatupiana makombora!Mkuu mbona povu linakutoka?.
Tusiseme ukweli kisa wametuzaa?.
Uwepo wakila binadamu ni mapenzi ya Mungu na si wanawake kama unavyodhani.
Na ndio mana wanawake wengine wanafanya abortion lakini mimba zinakataa kutoka,wanajifungua huku wakiwa hawajaridhia.
Kama unahisi nidharau, basi hakuna haja ya wao kulalamika humu sijui kuna wanaume wanavibamia,sijui wanaume wananuka p....mb.Kwako hizi sio dharau bali wanapaswa kusema kwakuwa wao wametuzaa?.
Sio lazima kila binadamu afikiri namna ambavyo wewe unataka,jifunze kuheshimu mawazo yawatu wengine.