Kwanini wanamchukia?

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,246
Wadada naomba mnisaidie

Mfano unakuwa na girlfriend mtaani wakajua kuwa una mahusiano na mtu flani kisha wanawake wakaanza kmchukia yule msichana ulonae kwenye mahusiano. Yaani hapo nasemea 90% ya wanawake wanamchukia.

Sababu hasa ni nini?

Chuki inatokea waapi?
 
Yan ndugu kuna muda mpk nakaa chini na kuwaza mabaya tuu....!!kuna mda nataman kmuambia asiongee na mdada yyte mtaani...maana wote hawampendi...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio walivyo hao wanawake hawapendani mi nikileta demu geto adi mama mwenyenyumba anachukia,nitamgegeda nayeye maana nimemchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…