GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,624
Wanajeshi Wetu Hata Wakiwa Tu Mitaani Lugha Zao Ni 100% Za Kibabe Na Za Kuamrisha Tu? Hivi Yawezekana Ikawa Moja Ya Criteria Of Being A Good Soldier Ni Kuwa Very Sober And Harsh? Hivi Humo Majumbani Mwao Si Huwa Hakukaliki Kwa Masharti Na Adhabu?

Ulishaona wapi konda Hana maneno ya shombo.kila kazi na hulka yake mkuuWanajeshi Wetu Hata Wakiwa Tu Mitaani Lugha Zao Ni 100% Za Kibabe Na Za Kuamrisha Tu? Hivi Yawezekana Ikawa Moja Ya Criteria Of Being A Good Soldier Ni Kuwa Very Sober And Harsh? Hivi Humo Majumbani Mwao Si Huwa Hakukaliki Kwa Masharti Na Adhabu?
mtaani kwetu na wote ninaowafahamu mim hawako hivyo.
very sober and very harsh unamaanisha nini?
Ulishaona wapi konda Hana maneno ya shombo.kila kazi na hulka yake mkuu
sio wote wako hivyo....wengine ni wapole na wakarimu
Yaani mimi huwa wanani-bore tena vinavyosumbua hivi vinavyotoka depo huwa vinajihisi kama vinarusha ndege za kivita za kwa Obama, kumbe Amboni tu kumewashinda
Ulishaona wapi konda Hana maneno ya shombo.kila kazi na hulka yake mkuu
Mimi ninajamaa zangu niwapole na wastaarabu mpaka nimependa kazi hiyo ya jeshi..na jeshi ni amri kaka..na kazi ngumu..uliwaona aliokuja nao kaka Obama walikuwa wanacheka na mtu..utasikia tu "MOVE OUT" Au huo sio ubabbe
Kuna mjeda mmoja mstaafu yeye tulikutana hospitali alikuwa amelazwa ward moja na mdogo wangu..... Ilikuwa ni balaa kwa wagonjwa wenzie full kufokewa mwanzo mwisho, na kali zaidi kuna cku aliamka alfajiri eti kufanya mazoezi ya viungo akawa anawaambia na wagonjwa wenzie waache kujidekeza ni lazima wafanye mazoezi