Kwanini wanaitwa king cobra?

Kwanini wanaitwa king cobra?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,621
Reaction score
56,941
Wanaitwa king cobra kwa sababu wanaweza kuua na kula cobra wenzao. Cobra mfalme mzima ni wa manjano, kijani kibichi, hudhurungi au mweusi, kwa kawaida huwa na mwamba wa rangi ya njano-nyeupe

King Cobra Ndiye Nyoka Mrefu kuliko Nyoka Wote Wenye Sumu pia Sumu Yao husababisha mauti. Cobra wa Kike Hutengeneza Viota.

Mwindaji wao mkubwa zaidi ni Mongoose. Wana uwezo wa kuishi miaka mingi takriban 20..Kingine Wana uwezo wa kuishi bila maji kwa muda mrefu kama tu reptiles wengine.

Tumlinde nyoka huyu Kwa kuwa yupo kwenye kundi la wanyama walio kwenye hatari ya kutoweka. Tumsaidie asipotee Kwa kutonunua bidhaa zozote zinazotokana na king cobra pia tusimuue tumrudishe kwenye mazingira yake.

FB_IMG_1717705652219.jpg
Screenshot_20240606-233454.png
 
View attachment 3010652View attachment 3010658
Popote pale naua nyoka tu, sina urafiki na snake yoyote
 
so sumu yake ni cytotoxin kama kina red spitting Cobra au neurotoxin kama kina Egyptian cobra?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom