GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,707
- 109,139
We are already in the building sir
Haaaahaaaa....I wanted to ask...nani kasema kuna mtu ana kazi ya kudumu enzi hizi? Tulizoea, ukiondoa JK Nyerere, kuwa mtu akipewa madaraka, basi ndio ameula mpaka yaje yasiyokuja.Mtoa post ni kiazi kweli kweli
Akili kumkichwa, na ujinga kumkichwa.
Ila hadi kuna mabadiliko means mkulu kaona kuna vitu haviendi sawa, sasa swala la vitu gani haviendi sawa acha tumwachie mwenyewe aliyefanya teuzi....
Note: Ni vyema kujifunza vingi na sio kujua kila kitu, vingine havituhusu
Naquote iyoo sentensi ya mwisho baada ya kiulizo na sintoiandika.Wanakikosi wenyewe hawataki kabisa kuiongelea hii hali wewe unataka sie mabaharia tujadili hili jambo hapa jamvini?
Si kuitakia JF na Mello wa watu matatizo tu?
Tuwahurumie kidogo ukizingatia kesi bado inaunguruma.