kwanini wamiliki wengi wa mabasi hupitishia bandari ya mombasa?

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,288
Wakuu hii kitu inanishangaza sana ilikuwa kabla na hata baada ya tanzania kupata rais mpya
Wamiliki wengi wa mabasi wa Tanzania wanapenda kupitishia au kuingiza mabus yao kupitia bandari ya mombasa
Je kwanini wanatumia bandari ya mombasa na wasitumie bandari ya mombasa na cha ajabu zaidi hata mmoja kati ya makada wa kubwa wa ccm ambaye anamiliki mabusi mengi ya luxury yanayoenda kanda ya kati.
Ina maana hata wanaccm wenyewe hawana imani na serikali yao
 
Wanakwepa storage charges za bandarini. Kwani mara nyingi watu wa TRA wanachelewesha kutoa magari usipokubaliana na makadirio yao. Mara nyingine tunasema wanakula na watu wenye yard za storage.
 
wanapunguza gharama sizizo za lazma wanaenda kuchongesha bodi hapo Nairobi!!
 
Wakuu hii kitu inanishangaza sana ilikuwa kabla na hata baada ya tanzania kupata rais mpya
Wamiliki wengi wa mabasi wa Tanzania wanapenda kupitishia au kuingiza mabus yao kupitia bandari ya mombasa
Je kwanini wanatumia bandari ya mombasa na wasitumie bandari ya mombasa na cha ajabu zaidi hata mmoja kati ya makada wa kubwa wa ccm ambaye anamiliki mabusi mengi ya luxury yanayoenda kanda ya kati.
Ina maana hata wanaccm wenyewe hawana imani na serikali yao
Mkuu "falcon mombasa kwanza nashukuru sana kuona mchango wako hapa jukwaani,ulipotea sana na kuna baadhi ya magamba wakasema upo shimo la thewa,karibu sana jf family
 
Panaitwa shimo la tewa
Ni gereza lililopo ufukweni mwa bahari na hata kuna kipindi wafungwa walikuwa wanatoroka kwa kuchimba baharini

Anyway mimi nipo mkuu naipenda tanzania roho inaniuma kuona iko nyuma kuzidiwa na kenya
 
Mkuu kwa rasilimali tulizo nazo tanzania tungekuwa mbele sana ya kenya,ila ni majizi wakubwaaa,nashukuru sana kuona post yako kwa mwaka huu wa 2016 karibu sana mkuu
 
Wakuu hii kitu inanishangaza sana ilikuwa kabla na hata baada ya tanzania kupata rais mpya
Wamiliki wengi wa mabasi wa Tanzania wanapenda kupitishia au kuingiza mabus yao kupitia bandari ya mombasa
Je kwanini wanatumia bandari ya mombasa na wasitumie bandari ya mombasa na cha ajabu zaidi hata mmoja kati ya makada wa kubwa wa ccm ambaye anamiliki mabusi mengi ya luxury yanayoenda kanda ya kati.
Ina maana hata wanaccm wenyewe hawana imani na serikali yao
Ccm ni majiiiziiiii wakubwa
 
Wanakwepa storage charges za bandarini. Kwani mara nyingi watu wa TRA wanachelewesha kutoa magari usipokubaliana na makadirio yao. Mara nyingine tunasema wanakula na watu wenye yard za storage.
Nimekuelewa sasa magufuli kashindwa kurekebisha hiyo maneno
 
Back
Top Bottom