Kwanini wamiliki wa kiwanda cha Twayford mnaihujumu Serikali ya Rais Magufuli?

Hayo yote ul;iyoyaeleza kwa mzungu yanawezekana na yanatekelezekeka lakini kwa mbongo???? ataisoma employment and labour reletions act yote lakini atakachokitekeleza ni strike, leave mbalimbali, kudai mishahara, kudai vyeo, na maslahi mbalimbali lakini kwenye wajibu wa kazi ndio hizo dharura za kukwepakwepa kazi anavizia mwisho wa mwezi ufike
 
Binafsi napenda sana utaratibu wa kulipwa ungekuwa ni wa kamisheni. Mtu alipwe kwa kazi alizofanya, ingefanya wafanyakazi wengi wa sekta zote tu kuwa wachapakazi kuliko hii mazoea ya mshahara mwisho wa mwezi bila kujali umefanya nini.

Sasa tatizo ni kuwa sheria zetu zinataka ujira wa mfanyakazi uwe kwa siku, wiki au mwezi tena kimewekwa na kima cha chini ..yaani uwe unajulikana base yake.

Hii ya kulipana mishahara inafanya wafanyakazi wawe wavivu na wenye jeuri sana. Anaweza 'kumkomesha' mteja kwa kumuweka pending au kutomhudumia, au kumuweka foleni muda mrefu sababu wana ugomvi binafsi nk..ila asingefanya hivyo ikiwa anajua malipo ni kwa kazi anayoifanya (idadi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…