Kwanini waliosoma UDSM wanapenda kuweka “UDSM alumnus/alumna” kwenye bio za social media?

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,938
4,354
Hii kitu nimeona sana kwenye social media bio za watu wengi walosoma UDSM. Kama ni mwanamke utaona basi kawekan”UDSM Alumna” na mwananume ataweka “UDMS Alumnus” .

Ni vigumu kukuta mtu kaweka “IFM alumnus/alumna” au “SAUT alumnus/alumna” . Hawa jamaa wa UDSM wanaona kama maisha wameyapatia.

IMG_8475.JPG
 
Hahaaaa tuliosomaga UDSM hatunaga stress. Kijana ambaye hakubahatika kusoma UDSM huwa anaumiaga sana. polee mkuu
Umesoma UDSM ualimu,sheria,human resource....nimesoma KCMC MD niwe na stress?....ujinga at his best,kwa kua zimbabwe unalipwa bilioni 1,US laki moja hutako kuuliza kua ni USD ama Zimbabwe dollar we fasta unakimbilia zimbabwe
 
KCMC ndio nini mkuu, kwani ww hukutamani kwenda MUHAS, mm najua ulikwenda second hand university kwasababu marks zako hazikutosha. All in all hata MUHAS ilikua part ya UDSM na ndio maana walivyo jitenga wanafunzi wakipindi hicho waliomba kupewa vyeti vya UDSM
 
Back
Top Bottom