Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 262
- 619
Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake.
Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini hasa ilikuwa sababu ya walinzi wa Magufuli kuvaa sare za chama?