Kwanini walimu wa S/M na Sekondari huwa hawafanyi usaili?

markbusega

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
826
847
Nimekuwa nikijiuliza haya maswali bila majibu.

Je wote wanafaa? Uwalimu ni kazi nyepesi wanaamini alimradi amehitimu kila mtu anaweza?

Au ni kwa sababu mahitaji ni makubwa ndio maana wanapangiwa moja kwa moja.
 
Mi ninaomba mwaka huu waanze kutangaza nafasi na watu waombe kwa sababu sasa hivi walimu wamekuwa wengi, hususani masomo ya sanaa. Sasa hivi tunagawana hadi unit. Usaili utawezesha kupatikana walimu wenye weledi na vile vile kurejeshwa heshima kwenye hii taaluma.
 
Ukiona thread yako wachangiaji hawapo ujue ulicho andika inabidi kikapimwe na daktari kinywa.
 
Afu wanalalamika kuwa kazi yao watu wanaidharau kwa kuchukua walioferi.mbona wengi wanachukua walioferi ila jinsi wanavyowachukua ndipo wanapofuta dhana hiyo mbaya.
 
Back
Top Bottom