Achana nayo fanya mambo yako.
Kama una watoto au wadogo zako usikubali wasomee uwalimu hata kama ndio option ya mwisho. Bora waende hata VETA wanaweza wakatoka.Habari wadau wote wa JF
Najiuliza ili swali bado sipati jibu katika pitapita zangu kwenye kuitafta riziki nakutana Sana na watumishi wengi wa serikali kama madaktar, askari Mafsa ugani, manes nk
Katika uchunguzi wangu wote wana kero mbalimbali but hawa'' maticha zetu" naona ni too much yani daily utaskia kamshahara kadogo nmechoka na hii lazi mara kazi hii ni ngumu sana na mengine mengi.
Ivi ni kweli serikali inawalipa mshahara mdogo kuliko watumishi wengine au nni tatizo kwa hawa walimu?
Hapo nakataa kwakweli,Tuisheni mbona wanatulazimisha kwa watoto zetu kila sikuMwalimu hana posho wala kupiga dili hamna kitu anaeza toa hata shule cha magendo auze apige mshindo,,
Mf:dokta anaeza iba ata dawa akafungua maduka ya dawa na life likasonga
Hapo unasema kwa mazingira ya mijini je vijijini??Hapo nakataa kwakweli,Tuisheni mbona wanatulazimisha kwa watoto zetu kila siku
Kama una watoto au wadogo zako usikubali wasomee uwalimu hata kama ndio option ya mwisho. Bora waende hata VETA wanaweza wakatoka.
Kazi ya uwalimu ni nzuri kwa wanawake but kwa wanaume halafu serikalini utakuwa na maisha ya kawaida sana.
Wanafunzi wako baada ya miaka kadhaa unawaona mtaani wanadrive wewe bado unhangaika kugombania daladala hadi unastaafu.
Ukiwa mwalimu serikalini ujue na kujiongeza, bila hivyo unatengwa hata na ndugu
Mheshimu mwalimuKama una watoto au wadogo zako usikubali wasomee uwalimu hata kama ndio option ya mwisho. Bora waende hata VETA wanaweza wakatoka.