Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Watanzania million 40 sensa ya mwaka gani mkuu?Aiseee..
Nimeona Niulize, Ni Kweli Kwamba Kati Ya Wana Ccm/ watanzania Mil 40, wanakosekana watu wapya ili walete changamoto mpya kwenye vyama vyetu?
Na Sii Tuu Kwa Vyama Hata Kwa Taifa. MAANA kila Kikuchwa ni Wale Wale Wanaofanya Yale Yale. Hii nini hasa inachochea?
Noma sana!Vyama vyote vinafanana tu, CCM walewale, CDM mwenyekiti ni yeye tu alfa na omega, TLP ndio hivyo tena, CuF ni yeye tu, NCCR ni mbatia daily hivyo hakuna jipya
Mkuu,Sisi watanganyíka ndio wajinga,kuendelea ichagua CCM
Naona umelazimisha tu kuwaweka wengine ili ujiliwaze, mfano Kinana alikuwa KM leo ni MM, niambie nani huko upinzani hasa Chadema amewahi kushika nafasi mbili tofauti ndani ya chama chake tena kwa nyakati tofauti?Vyama vyote vinafanana tu, CCM walewale, CDM mwenyekiti ni yeye tu alfa na omega, TLP ndio hivyo tena, CuF ni yeye tu, NCCR ni mbatia daily hivyo hakuna jipya
Vijana wamekuwa machawa hawana hoja wala ubunifu wo wote wamebaki kusifia kila kitu hata kucheka kwa kiongozi wao!Aiseee..
Nimeona Niulize, Ni Kweli Kwamba Kati Ya Wana Ccm/ watanzania Mil 40, wanakosekana watu wapya ili walete changamoto mpya kwenye vyama vyetu?
Na Sii Tuu Kwa Vyama Hata Kwa Taifa. MAANA kila Kikuchwa ni Wale Wale Wanaofanya Yale Yale. Hii nini hasa inachochea?
Tuwakatae wote hadi waone aibu kuiba kura!Mkuu,
Unawaonea bure Watanganyika..
Wewe uliona kura zimehesabiwa kihalali?!!!
Mkuu musevení ni raisi tangu 1986!! 😅😅Kinana tena! mzee toka miaka ya 80 ni kiongozi
CCM na nchi ina wenyewe!Aiseee..