Wewe unatatizo la kufsiri lugha ya kiarabu kwa muundo wa sisisi kuja kiswahili,jifunze lugha ili uwe mkweli,hapa si sehemu ya kudhihirisha tabia ya uongo
We bwana wee umenifanya hadi nifungue biblia, maandiko hajasema kama koran ilivosema, two diff meanings, there's no God like u in heaven above or on earth below, koran inasema hakuna Mungu ila Allah, maana mbili tofauti.
sehemu zote watu wamepokea dini ya waarabu kwa kulazimishwaa
Wewe unatatizo la kufsiri lugha ya kiarabu kwa muundo wa sisisi kuja kiswahili,jifunze lugha ili uwe mkweli,hapa si sehemu ya kudhihirisha tabia ya uongo
Pia aliweka wazi kuwa Mungu sio baba yake pekee!
Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet ascended to the Father. Go instead to my brothers and tell them, 'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'"
Yohana 20:17[SUP]17 [/SUP]Yesu akamwambia, "Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu."
Mlaleo unamwabudu Mungu Yupi?
Je unaamini kuwa Yesu ni Mungu? Au unamwabudu Mungu wa Yesu?
YAHWEH Kwa Wote
Huelewi au kusudi tu wafanya...!Akiwemo Yesu
Allah si ndio mungu au? tusipindishe maandiko kwa sababu tu ya kuvutia ngozi kwako
hiki kichekesho, mungu kafungiwa kwenye lile box pale maka.
Yule hakua mkurd kwani wakurd wako kaskazini mwa irag.abraham alitokea ur ya kaldayo ambayo inapatikana central mwa irag ya leo.Abrahamu,baba wa Isaka alitoka ukurd
Yule hakua mkurd kwani wakurd wako kaskazini mwa irag.abraham alitokea ur ya kaldayo ambayo inapatikana central mwa irag ya leo.