No maelezo hayo yanamaanisha hakuna mungu mwingine ila allah. Au allah pekee ndiye mungu.La Ilaha illallah Mohamed rasulullah yaani Hakuna Mungu ila Allah na Mwamedi ndie mesenja.. Ndio uislam unavyoamini Hakuna Mungu... nadhani umenipata...
Allah si ndio mungu au? tusipindishe maandiko kwa sababu tu ya kuvutia ngozi kwako
Huwezi Shindana na Koran..No maelezo hayo yanamaanisha hakuna mungu mwingine ila allah. Au allah pekee ndiye mungu.
Sawasawa?
Hivi wewe kwani hujui Yesu alikuwa ni Nani? Jina la Yesu limekuja kuja kutokana na Tafsiri mbali mbali za lugha ya watu wazitumiazo...
Yesu ndie YAH-SHUA jina likiwa na maana ya Mungu pamoja nanyi kama nabii Isaya wa wakati kabla ya Yesu kuzaliwa alivyotabiri. YAH-SHUA alikuwa akimuomba YAH-WEH Mungu wa Ibrahim,Yakobo,Isaka Mussa na Waislael ambaye ndio anajulikana kama ndio Mungu Muumba vyote.
Huwezi Shindana na Koran..
Koran inasema Hakuna Mungu iweje wewe upingane nayo na huyo Allah hataki kuitwa Mungu.. anajua aliyemuumba sababu... Kawaulize Yazids walioko huko Iraq wanajua hadi alipotokea na walimkataa kitambo
Pata maarifa hapa. Baada ya kupitia hiyo link bado utakuwa na msimamo huo wa kuwa Allah si Mungu?Allah si Mungu na wala Maneno hayapindishwi... ndio yalivyoandikwa kwenye Koran haswa... There is no God But Allah and Mohammed is a Messenger
[h=3]La Ilaha IllAllah Muhammadur Rasulullah[/h]
there is no God.. 1 King 8:23, see also 2 Chronicles 6:14, Isaiah 45:5,Allah si Mungu na wala Maneno hayapindishwi... ndio yalivyoandikwa kwenye Koran haswa... There is no God But Allah and Mohammed is a Messenger
La Ilaha IllAllah Muhammadur Rasulullah
Ndio alimuita Baba yake.. ambaye ni YAH-WEHYesu aliupinda mgongo na kuweka kipaji cha uso ardhini akimuomba Mungu wa YAH-SHUA, Ibrahim na Mussa?
YAH-SHUA nae ana Mungu wake?
Niwekee sawa hili.
Ndio alimuita Baba yake.. ambaye ni YAH-WEH
Nimekuwa nikifuatilia siasa za kimataifa, nimeona huko mashariti ya Kati Wakurdi wamekuwa waanga wa Vita, waarab huwa wanawalenga kuwaua. Wakurdi ni waislam lakini kihistoria wamekuwa wakiuawa, hata enzi enzi za Sadam waliuawa. Baada ya kuona wamekuwa wakionewa, sasa wamehamua kuunda jeshi lao, pia kuunda nchi yao ndani ya nchi. Kwanini wanaonewa hivyo, kosa lao nini?
Mada nzuri sana hii Gambamala.
Hata mimi huwa najiuliza sana juu ya hawa jamaa. Ni watu wa movements sana popote walipo, hata wawe UK ama US ama Australia ni lazima utawakuta na associations zao za kiharakati kuhusu jamii yao. Kwangu mimi hawatofautiani sana na jews pamoja na catalans. Hawa wote focus yao kubwa ni mataifa kwa ajili ya jamii zao. Jews wamepata lakini hawa wengine bado. Ndiyo maana wakurdi katika nchi zote ambamo jamii yao ipo kwa wingi ni harakati tu za kisiasa, kijamii hata kijeshi. Wao wanahisi kuwa wanakandamizwa, sina hakika sana juu ya hilo ama tu ni inferiority complex ndani yao.
Kule Uturuki kuna PKK na kiongozi wao Abdullah Ocalan alisumbua sana kabla ya kutiwa rupango, pale Iran wana KDPI nayo ni moto. Pia wana harakati kubwa sana Syria na Iraq hadi miaka ile ya mwanzo ya 1990's Saddam Hussein akawafanyia umafia mkubwa katika kuzima up-rising yao. Pia ni jamii yenye ushawishi sana katika siasa za kimataifa hasa ndani ya mataifa makubwa ya ulaya na america ndiyo maana mara nyingi wanapoguswa intervention huwa kubwa. Ni harakati zao hizi ambazo zimepelekea wao kijijengea uadui mkubwa na jamii zingine papo hapo kujitengenezea marafiki wanaowaunga mkono.
Wakurdi si Waarabu ndio Maana wanabaguliwa sana...na walibaki nyuma kitawala na ni sababu walicheleweshwa na watawala wengi wa kiislam... na wao hawakuwa Waislam ila walilazimishwa tu kuufuata...
Pia Uelewe Waarabu ni kabila la kibaguzi sana linataka ufuate watakayo wao tu.... Hata Kusali lazima Upindishe Mgongo... na uwe umetawadha sijui kuna mkaguzi wao humo misikitini!
So there is other Gods but they are not like the one it is talked about.?We bwana wee umenifanya hadi nifungue biblia, maandiko hajasema kama koran ilivosema, two diff meanings, there's no God like u in heaven above or on earth below, koran inasema hakuna Mungu ila Allah, maana mbili tofauti.
sehemu zote watu wamepokea dini ya waarabu kwa kulazimishwaa
there is no God.. 1 King 8:23, see also 2 Chronicles 6:14, Isaiah 45:5,