Kwanini Wakurd?

Gambamala

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
1,045
Reaction score
766
Nimekuwa nikifuatilia siasa za kimataifa, nimeona huko mashariti ya Kati Wakurdi wamekuwa waanga wa Vita, waarab huwa wanawalenga kuwaua. Wakurdi ni waislam lakini kihistoria wamekuwa wakiuawa, hata enzi enzi za Sadam waliuawa. Baada ya kuona wamekuwa wakionewa, sasa wamehamua kuunda jeshi lao, pia kuunda nchi yao ndani ya nchi. Kwanini wanaonewa hivyo, kosa lao nini?
 
Kwa sababu ni vibaraka wa US, na wanamiliki reserve kubwa ya mafuta, so US hatetei UKURD anatetea visima vyake vya mafuta alivyowekeza
 
Wakurdi si Waarabu ndio Maana wanabaguliwa sana...na walibaki nyuma kitawala na ni sababu walicheleweshwa na watawala wengi wa kiislam... na wao hawakuwa Waislam ila walilazimishwa tu kuufuata...

Pia Uelewe Waarabu ni kabila la kibaguzi sana linataka ufuate watakayo wao tu.... Hata Kusali lazima Upindishe Mgongo... na uwe umetawadha sijui kuna mkaguzi wao humo misikitini!
 

naomba uthibitishe hiyo kwenye RED nakusubiri na usilete blah blah maana watu km mmechanganyikiwa na UISLAMU vile
 

"And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, ... (Matthew 26:39)

Yesu pia alipindisha mgongo. Kama wewe hupindishi mgongo, unalidharau andiko.

Pata faida na maarifa hapa link Jesus and all of the Prophets before him prayed the same as Muslims pray today
 

"And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, ... (Matthew 26:39)

One of those days Jesus went out to a mountainside to pray, and spent the night praying to God. luke 6:12
Yesu pia alipindisha mgongo. Kama wewe hupindishi mgongo, unalidharau andiko.

Pata faida na maarifa hapa link Jesus and all of the Prophets before him prayed the same as Muslims pray today

Je Yesu alipopindisha mgongo na kuweka kipaji cha uso ardhini alikuwa akijiabudu?
Nafsi moja ya "Mungu" inaabudu nafsi nyingine ya "Mungu"?
 
[h=1]ISIS– LARGEST, RICHEST $2BILLION TERROR-BASED ENTERPRISE: FINANCIAL SOPHISTICATION RIVALING "WALL STREET"[/h]It also pays rent for some members and medical expenses, maintains safe-houses and buys weapons and other equipment. As cash-based organization, it also has to guard against internal corruption, which is documented in the group's own records…

In less than three years, the extremists morphed from a ragtag band of militants into the most cash-rich terror group in the world, and they are accomplishing these feats all by themselves– these are very industrious people…

the rich individuals serve as ‘angel investors' for the most violent militants, providing ‘seed money' that helped launch ISIS and other jihadi groups… These rich Arabs are like what ‘angel investors' are to high-tech start-ups, except they are interested in starting up groups who want to stir up hatred: Groups like al-Nusrah and ISIS are better investments for them.

According to 'Iraq Energy Institute'; the army of radical Islamists controls production of 30,000 barrels of oil a day in Iraq and 50,000 barrels in Syria


The oil revenue, which amounts to nearly $100 million/month, allows ISIS to fund its military, terrorist attacks–and attract recruits from around the world…

U.S. and its allies must push the Islamic State out of the oil fields it has captured and disrupt its ability to smuggle the oil to foreign markets

ISIS sells oil to consumers in territory it controls, roughly the size of Maryland, insideSyria and Iraq. The terrorist group also sells oil to network of smugglers that developed in the 1990s during Iraqi dictator Saddam Hussein's rule; that network smuggled oil out of Iraq to Turkey to avoid sanctions imposed by the UN.

ISIS's criminal activities– robbery, extortion, and trafficking– have helped them become the best funded terrorist group in history. The wealth has helped expand their operational capacity and incentivized both local and foreign fighters to join them… ISIS has the resources, weaponry, and operational safe havens to continue to threaten the stability of the region, as well as; U.S., Europe, other nations' national security interests…






ISIS-- Largest, Richest $2Billion Terror-Based Enterprise: Financial Sophistication Rivaling Wall Street
 

Ujinga ni mzigo mkubwa sana.

Yaani unashindwa kabisa kutambua kuwa kuna waarabu wakristo??na waarabu wanaoamin iman zingine pia??

Huskii kuwa usa anasaidia waarabu ambao ni wakristo anasema kuwa wanasakamwa na wale walio waislam kitu ambacho hadi leo hajaleta ushahid??

Jiongeze kijana.

Ujinga huo ni aibu.
 


Jesus also alipinda mgongo wake na kutawadha.

And he was a jew.

Sasa sijui alilazimishwa na waarabu pia??

Chambilecho wewe mwafrika ibada za disco za kumsifu yehova sijui umezitoa wapi.
 
sikuzote imani yangu inanituma kwamba hakuna NENO ugaidi kwa minajili ya DINI!!! ni wachache sana WANAOFIA DINI, wengi wa magaidi nia yao, NI Kujipatia umiliki wa uchumi, (fedha), wanawake na mamlaka, that's all, watu waache unafiki wa kusingizia dini kutimiza malengo yao..
 
Ṣalāḥ ad-Dīn Yūsuf ibn Ayyūb( Arabic:صلاح الدين يوسف بن أيوب‎; Kurdish:سه-لاحه-دین ئه-یوبی, Selahedînê Eyûbî) (1137/1138 – 4 March 1193), better known in the Western worldasSaladin, was the first Sultanof Egyptand Syriaand the founder of the Ayyubid dynasty. A Muslimof Kurdish [ 1 ] [ 2 ] [ 3 ]origin, Saladin led the Muslim opposition to the European Crusadersin the Levant. At the height of his power, his sultanate included Egypt, Syria, Mesopotamia, Hejaz, Yemenand other parts of North Africa.
Originally sent to Fatimid Egyptby his Zengidlord Nur ad-Dinin 1163, Saladin climbed the ranks of the Fatimid government by virtue of his military successes against Crusader assaults on its territory and his personal closeness to the caliph al-Adid. When Saladin's uncle Shirkuhdied in 1169, al-Adid appointed Saladin vizier, a rare nomination of a Sunni Muslimto such an important position in the Shia Muslim-led caliphate. During his term as vizier Saladin began to undermine the Fatimid establishment, and following al-Adid's death in 1171 he took over the government and realigned the country's allegiance with the Baghdad-based Abbasid Caliphate. In the following years, he led forays against the Crusaders in Palestine, ordered the successful conquest of Yemenand staved off pro-Fatimid rebellions in Upper Egypt.
Not long after the death of Nur ad-Din in 1174, Saladin personally led the conquest of Syria, peacefully entering Damascusat the request of its ruler. By mid-1175, Saladin had conquered Hamaand Homs, inviting the animosity of his former Zengid lords, who had been the official rulers of Syria. Soon after, he defeated the Zengid army in battle and was thereafter proclaimed the "Sultan of Egypt and Syria" by the Abbasid caliph al-Mustadi. He made further conquests in northern Syria and Jazira, escaping two attempts on his life by the Assassins,
 
naomba uthibitishe hiyo kwenye RED nakusubiri na usilete blah blah maana watu km mmechanganyikiwa na UISLAMU vile

Waislam wanaamini Hakuna Mungu ila kuna Allah... Na Koran inasema Makafiri ni wale wasiomjua Mungu... Kwakuwa Waislam ni Watumwa wa Allah na Allah anasema Hakuna Mungu basi Waislam ni Makafiri...
 

Jaribu kupanga maneno vizuri yasomeke vizuri na hayo maandiko sijui umeyatoa kwenye Koran ipi?
 
Jesus also alipinda mgongo wake na kutawadha.

And he was a jew.

Sasa sijui alilazimishwa na waarabu pia??

Chambilecho wewe mwafrika ibada za disco za kumsifu yehova sijui umezitoa wapi.

Alibon'goa?
 

Kama ningekuwa Mjinga basi ningekuwa na mimi nawalisha maneno ambayo mtu hajasema namsingizia kasema...

Wapi nimesema hakuna Waarabu wakristo? Mbavu pu zako

Kuhusu USA na Madai yao si kwamba wao ndio wamesema Waarabu wakristo ndio waliosema wenyewe na hata Serikali ya Iraq inatambua yote yanayoendelea na Hata hao ISIS Walitoa tangazo na kutambulisha Dunia nzima kuwa Wakristo wa Iraq waondoke Huko Ninawi au walipe special Kodi ili waendelee kuishi huko lakini wale waliokubali kuendelea kuishi waliuwawa na wanawake zao walichukuliwa kama mateka wa mapenzi... Sasa wewe yaelekea ni mweupe kuhusu News ni vigumu Kujadiliana nawe... Yaani unakuja tu na kusema Marekani hana Ushahidi....
 
Waislam wanaamini Hakuna Mungu ila kuna Allah... Na Koran inasema Makafiri ni wale wasiomjua Mungu... Kwakuwa Waislam ni Watumwa wa Allah na Allah anasema Hakuna Mungu basi Waislam ni Makafiri...

Ulitaka kusema nini hapa?
 
Ulitaka kusema nini hapa?
La Ilaha illallah Mohamed rasulullah yaani Hakuna Mungu ila Allah na Mwamedi ndie mesenja.. Ndio uislam unavyoamini Hakuna Mungu... nadhani umenipata...
 
Waislam wanaamini Hakuna Mungu ila kuna Allah... Na Koran inasema Makafiri ni wale wasiomjua Mungu... Kwakuwa Waislam ni Watumwa wa Allah na Allah anasema Hakuna Mungu basi Waislam ni Makafiri...

Allah si ndio mungu au? tusipindishe maandiko kwa sababu tu ya kuvutia ngozi kwako
 
Hivi wewe kwani hujui Yesu alikuwa ni Nani? Jina la Yesu limekuja kuja kutokana na Tafsiri mbali mbali za lugha ya watu wazitumiazo...

Yesu ndie YAH-SHUA jina likiwa na maana ya Mungu pamoja nanyi kama nabii Isaya wa wakati kabla ya Yesu kuzaliwa alivyotabiri. YAH-SHUA alikuwa akimuomba YAH-WEH Mungu wa Ibrahim,Yakobo,Isaka Mussa na Waislael ambaye ndio anajulikana kama ndio Mungu Muumba vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…