Kwanini Wakurd?

Kwanini Wakurd?

Gambamala

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
1,045
Reaction score
766
Nimekuwa nikifuatilia siasa za kimataifa, nimeona huko mashariki ya Kati Wakurdi wamekuwa waanga wa Vita, waarab huwa wanawalenga kuwaua. Wakurdi ni waislam lakini kihistoria wamekuwa wakiuawa na waarab, hata enzi za Sadam waliuawa. Baada ya kuona wamekuwa wakionewa, sasa wamehamua kuunda jeshi lao, pia kuunda nchi yao ndani ya nchi. Kwanini wanaonewa hivyo, kosa lao nini?
 
Wakurdi si Waarabu ndio maana wananyanyaswa... Waarabu kubagua ndio zao...
 
Back
Top Bottom