dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,863
- 16,730
Wewe Ni mkimbiziMajungu hayo kwani waliwahi kuja kukuomba nguna?
Pambana acha umbea, umbea hauna posho we jamaa!
Alisikika Mtutsi mmoja wa pale chigali kwa PAKA ya Kurwanda!
Yeah yeah nilikimbizwa na mbwa ya wenyewe nilivyoenda kuiba Ulanzi wa Mzee Makanjaula huko Isimani!Wewe Ni mkimbizi
Mbona kama una wasi wasi sana......au na wewe sio Mwenzetu?Majungu hayo kwani waliwahi kuja kukuomba nguna?
Pambana acha umbea, umbea hauna posho we jamaa!
Alisikika Mtutsi mmoja wa pale chigali kwa PAKA ya Kurwanda!
Yeah yeah mimi Sio mwenzetu my name is Dumas the Terrible yo got me nigga?Mbona kama una wasi wasi sana......au na wewe sio Mwenzetu?
Yule siyo mnyakiyusa Ni mnyia mpuuz wa mlowoLuka mwasambwa mnyakyusa
wa Zambia analizungumziaje hili.
Hiz hbr umetoa wapi bwan mdg thibitisha bila kuacha ukizoHao wote serikali ilikuwa na taarifa zao msifikiri walikuwa hawajulikani, ebu chukua mfano wa Mzee Kabila amekuja nchini miaka ya 70's na akawa anafanya shughuli zake na akawahi hadi kuwa na bucha ya samaki na kijana wake Joseph akaenda hadi jkt lakini serikali ilifahamu hao ni kina nani.
ππππYule siyo mnyakiyusa Ni mnyia mpuuz wa mlowo
Mbona jamaa flani hivi kutoka chattel republic tetesi za hapa kijiwe cha coffee street 1 msimbazi,IPO siku nnch hi itakuja kuongozwa na mkimbizi