Kwanini wakiharibu hawawajibishwi?

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
Tumeshuhudia kashfa nyingi huko Bongo lakini wakosaji hawawajibishwi,hivi ni kwanini?EPA,RICHMOND,KAGODA,MEREMETA,RADA,IPTL,KIWIRA COALMINE,UDOM na nyingine mnaweza kuziorodhesha hapa.
Je hakuna kifungu cha sheria au katiba kinachoweza kuwawajibisha wahusika? Huku viongozi wa serikali na makampuni wanawajibika ipasavyo vinginevyo umekwisha na ndio maana wanaendelea.
 
Tatizo hapa ni nani amwajibishe nani, yaani nani amtupie mawe mwanamke mzinzi mpaka afe,kwa kuwa sifa ya anayetakiwa kumtupia mawe mwanamke mzinzi ni kutokuwa mzinzi. Kwenye sheria wanasema no one can be judge in his own course.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…