jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
Habar JF active and inactive member,
Africa Mashariki ( East Afrika kuna nchi zaidi ya tatu Kenya,Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi huko mbeleni itaingia na Sudan kusini.
But nilichogundua Tanzania inawaumiza kichwa sana wakenya wakilala wakiamka wanaumiza kichwa kuhusu Tanzania. Basi bila shaka hili linanifanya niamini Wakenya na Kenya tumewazidi mambo mengi ndo maana kila siku wanahaha na siku inchi yao ikifungua project ndogo tu basi mwezi mzima watashinda wanapost na kuongelea.
Katika nchi zote hizi za East Afrika Wakenya hawajawahi kujisumbua kujicompare na Uganda wala Rwanda wala Burundi wao ni Tanzania, we soma post zao zote utajua tu kuwa wao wanahangaika kuifikia Tanzania.
SWALI LANGU BADO
Kwanini wakenya kila siku wanajicompare na Tanzania ndo kusema nchi nyingine hawazioni?
TANZANIA
KENYA