Kwanini wahitimu wengi hawana muitikio wa course za Teknolojia mfano Computer Science, Comp Engineering.

Code sio kitu cha mchezo ukilazimisha huwa hazipandi hata kidogo so inahitajigi kupenda ndio usome bila hivyo huwez kufanya jipya au kusolve matatizo juu ya course hizo
 
hzu code zimenitesa sana chuo kipindi niko dit pale aisee sio mchezo inahitaji umakini kwa sisi watu wa electrical daah tylikua tunapata tabu sana kwenye programming huko
 
  • Thanks
Reactions: k29
Code inategemea na kichwa cha mtu kuweza ku handle logical problems me nilianza code kipindi hicho niko form 2 tangu hapo sikuangalia nyuma tena niliakikisha naingia katika fani hii , so nikakimbilia diploma faster maana sikutaka kwenda kupoteza muda nikajisemea kama nilishapenda kufanya hiki kitu kwanini tena niende kusoma chemistry na masomo mengine wakati nimeshapata something I can and something that I like , so nikaenda diploma nilikua nataka nikasome computer science sema kwa hapa dar es salaam vyuo vikubwa vingi havina kozi ya computer science kwa level ya diploma , hivyo nikaenda computer engineering diploma huko nikasoma mengi tu ambayo nilikua nategemea kukutana nayo , tangu kuingia chuo code hazikuwai kuninyima usingizi wala kunifsnya niwaze maana tulikua tunapiga lab za kutosha sana plus ni vitu ambavyo nilisoma kwa muda mlefu na nilikua na experience , tatizo kubwa ambalo nimekuta watu wanashindwa katika kozi hizi ni kwamba mtu anategemea mwalimu amfanye yeye mtaalamu wakati ku master something you must work hard yourself you must go extra miles , wengine unakuta ni wavivu wanasoma code kama gazeti na kukariri then wanadhani wanajua kumbe hakuna lolote kichwani , siku zote kupata ujuzi kuna hitaji jitihada binafsi me nilikua nakesha usiku mxima kufanya programming na kujifunza kabla sijaanza kufanya project binafsi.
 
Unakuta mtu advance tu umepita kwa shida halafu ukajitwishe mzigo wa hayo ma comp science.
Izo zinahitaji kichwa cha mtu kiwe safi...wengi huishia njiani.
Ndo maana responsiveness n ndogo
 
Code inategemea na kichwa cha mtu kuweza ku handle logical problems me nilianza code kipindi hicho niko form 2 tangu hapo sikuangalia nyuma tena niliakikisha naingia katika fani hii , so nikakimbilia diploma faster maana sikutaka kwenda kupoteza muda nikajisemea kama nilishapenda kufanya hiki kitu kwanini tena niende kusoma chemistry na masomo mengine wakati nimeshapata something I can and something that I like , so nikaenda diploma nilikua nataka nikasome computer science sema kwa hapa dar es salaam vyuo vikubwa vingi havina kozi ya computer science kwa level ya diploma , hivyo nikaenda computer engineering diploma huko nikasoma mengi tu ambayo nilikua nategemea kukutana nayo , tangu kuingia chuo code hazikuwai kuninyima usingizi wala kunifsnya niwaze maana tulikua tunapiga lab za kutosha sana plus ni vitu ambavyo nilisoma kwa muda mlefu na nilikua na experience , tatizo kubwa ambalo nimekuta watu wanashindwa katika kozi hizi ni kwamba mtu anategemea mwalimu amfanye yeye mtaalamu wakati ku master something you must work hard yourself you must go extra miles , wengine unakuta ni wavivu wanasoma code kama gazeti na kukariri then wanadhani wanajua kumbe hakuna lolote kichwani , siku zote kupata ujuzi kuna hitaji jitihada binafsi me nilikua nakesha usiku mxima kufanya programming na kujifunza kabla sijaanza kufanya project binafsi.
Upo very right jembe langu
 
Dah nategemea kuianza open university kwa diploma in computer science, kumbe naweza nikakuambulia ambulia kidogo mkuu wangu kwa ideas ulizonazo
 
Upatikanaje wa ajira ukoje
Hili ndio kosa lako la kwanza hata kabla hujaanza kusoma. Yaani mtu wa computer engineering/science au IT unangoja ajira?

Ajira kwa hapa bongo hata kwa madokta ni hakuna... Sasa wewe unasoma computer afu unangoja ajira daah!!

Kama huna "passion" na kama hutaki kujiajiri kaa mbali na hizi kozi... Hizi ni kozi nzuri kujiajiri...
 
Back
Top Bottom