MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,574
- 8,907
Ukijalibu kuchunguza hata kwa hizi International School utagundua kwamba Boarding wako watoto wa Kiafrica pekee hata na Watoto wa Wahindi na Wazungu wako Day yaani wanaenda na kurudi.
Niliwahi uliza Muhindi mmoja rafiki yangu ila hakunipa jibu la maana kwamba kwa nini wao watoto wao wako Day pekee?
Ila nilikuja baadae kuambiwa kwamba sababu kubwa wanataka kuwa monitor watoto wao hasa kimaadili na pia kimaendeleo, hii ni kwa sababu watapaswa kuwa na muda wa kupractise yale wanayo fanya wazazi wao hasa kwenye biashara na hii ndo sababu wanakuwa ni mihimu kukaa Day na pia wanataka ule umoja wa kifamilia usipotee kabisa.
Kwa sababu inasemekana moja ya sababu za ndugu kuanza kutengana ni kwa sababu waki wadogo muda wote walikuwa mshuleni Bording hivyo kupelekea mtoto kuoana kama wale rafiki zake wa shuleni ndo kama ndugu zake na pia mtoto kuanza kudevelop rabia ya kutaka kukaaa mwenyewe.
Cha ajabu sisi hadi watoto wa miaka 8 wako Bording na tunaona sawa kabisa kisa tu yuko na wakina Matron na Patron wanawalea yaani tunazaaa na tupo hai hatujafa ila jukumu la kumlea mtoto kimaadili anapewa Matron na Patron.