Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Huyu ni demu wa Mwigulu wala havuti bangi, ni bi mdogo wa Kigwangala.Chadema wapi unawasemea? au chadema feki waliokuzunguka hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi?
Jina lako limesharudi kwenye vitu maalum? Jee likirudi umesha tunguliza uipate tena ile ofisi chini ya mzee wa degree 7 ambaye wajumbe walimfyeka?Ndugu zangu,
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao"
Kwanini Tundu hatajwi kama "Rais wa mioyo ya wafuasi wa CHADEMA?"kuna jambo gani linaendelea?
Au Tundu si chaguo lao kama ilivyokuwa kwa Lowassa mwaka 2015?
Tujadili kwa utulivu
Iwapo angebadili kabila na kua mchaga sawaNdugu zangu,
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao"
Kwanini Tundu hatajwi kama "Rais wa mioyo ya wafuasi wa CHADEMA?"kuna jambo gani linaendelea?
Au Tundu si chaguo lao kama ilivyokuwa kwa Lowassa mwaka 2015?
Tujadili kwa utulivu
Kwa mwandiko huu unaonyesha wewe ni demu wa kigogo fulaniNdugu zangu,
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao"
Kwanini Tundu hatajwi kama "Rais wa mioyo ya wafuasi wa CHADEMA?"kuna jambo gani linaendelea?
Au Tundu si chaguo lao kama ilivyokuwa kwa Lowassa mwaka 2015?
Tujadili kwa utulivu
Kuna mdau hapo juu kasema ni demu wa savimbi lakini hata kigwa hua anasuuza rungu hapohapo.Kwa mwandiko huu unaonyesha wewe ni demu wa kigogo fulani