MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Nilibahatika kumsindikiza rafiki yangu duka la jeshi ambako anaamini wanauziwa bidhaa kwa bei ya chini.
Maduka yote yanamilikiwa na wahindi, Nilichoona
Bidhaa zao nyingi zina ubora hafifu, Na bei zao zingine nikama sehemu zingine tofauti ni ndogo sana.
Nionacho
Hawa wahindi wanacheza na mind set za wa TZ, yawezekana hapo awali waliweka vitu vizuri kwa bei nzuri, baada ya kuona dhana imejengeka kuwa jeshini vitu ni rahisi wanachakachua ile mbaya.
Mie kwa kweli niliona vitu vingi ni low quality ndio vimejaa katika maduka hayo
Badala ya kumsaidia huyu askari na kumuondolea makali ya maisha zina muongezea ugumu zaidi kwani akinunua glass ya sh 550 jeshini atakapoosha tu siku ya pili hana glass ni heri angenunua ya 990 sehemu ingine ambayo inge dumu kwa muda .
Ni mtizamo wangu tu kuwa hawa wahindi vitu wanavyo vipeleka kuwauzia hawa askali wetu wenye kipato kidogo viwe na ubora wa kuwasaidia zaidi.
Wanawafanyia vibaya sana maafande wetuHao ndio wahindi, pale ndio dumping place yao!
Yaani Jeshi na minguvu yote wanashindwa kuwaadabisha hawa wahindi ili wawauzie vitu vyenye ubora, wao wanakuja kuonea raia tu?
Basi kama wanauziwa vitu low quality kweli nadiriki kuwaita wapumbavu na wanatufanya tuonekane wapumbavu mbele za hao Wahindi...
hawa wahindi hawafai kabissa-si hapo tu-sehemu nyingi sana wanachakachua kila kitu
Halafu bei zao huwa wanalabel kwa pungufu ya sh. Hamsini
Mfano: Fridge 599,950
Jiko 499,950 nk. Bidhaa zao ni mbovu hakuna mfano. Mimi nilinunua stabilizer, baada ya mwezi nikatupa.
wahindi wanaingiaje jeshini kuuza vitu? jeshi si linaagiza vitu bila kodi na wanajeshi wananunua hivyo hivyo bila kodi? ninavyoelewa watu huenda kununua vitu jeshini kwa sababu ya unafuu wa bei, na raia huuziwi mpaka uongee na mjeshi akununulie kwa kitambulisho chake.
Yaani Jeshi na minguvu yote wanashindwa kuwaadabisha hawa wahindi ili wawauzie vitu vyenye ubora, wao wanakuja kuonea raia tu?
Basi kama wanauziwa vitu low quality kweli nadiriki kuwaita wapumbavu na wanatufanya tuonekane wapumbavu mbele za hao Wahindi...
Naogopa ushahidi kwa hicho kibondo unachoweza kupewa na hao maafande
Hapo kweli TANMO kapaweka vibaya maana ni Kaka zetu, dada zetu na wazazi wetu vile vile wanaakili sana wajeshi..ni hawa wahindi wanacheza na mind set za watu si maafande tu hata katika biasahara zao zote wako hivyo !
Haya mkuu nimekusoma!Mkuu kama umenisoma vizuri, sikukusudia kukutukania ndugu yako. Ila kutokana na ukweli kuwa wanajeshi wengi tunaishi nao Uraiani, wanaona maisha halisi na wao wamepata bahati ya kuuziwa vitu bila kodi, kumbe vitu vyenyewe ni mafamba na wanakubali, wanaendelea kununua, tuwaiteje sasa? Jeshi ambalo karibia kila kukicha tunasikia wametoa kichapo kwa raia wanaovaa nguo za mitumba eti kisa zinafanana na za Jeshi, walivyo makini kuwaadabisha madereva wanaofanya makosa jirani na kambi zao, walio makini kukamata raia anayekatisha kwenye kambi zao,, wanaopenda kila wanapokuwa basi uwa-notice na uwanyenyekee, wameshindwa kugundua kuwa wanaingizwa mjini na makabacholi na kuchukua hatua, tuwaite werevu?
Umakini walionao kutafuta makosa ya raia na hatimaye kuwaadabisha, kama hawautumii kuangalia maslahi yao yanavyochezewa na wajanja wachache, basi niwaite "wasio werevu". Siwaonei huruma kwa kweli, tena wamenikera..
Halafu bei zao huwa wanalabel kwa pungufu ya sh. Hamsini
Mfano: Fridge 599,950
Jiko 499,950 nk. Bidhaa zao ni mbovu hakuna mfano. Mimi nilinunua stabilizer, baada ya mwezi nikatupa.
Hizo bidhaa zimetoka kuzimu, wahindi si unajua mambo yao...!!
Hizo bidhaa zimetoka kuzimu, wahindi si unajua mambo yao...!!