Kwanini wadada mnakuwa wachafu kiasi hiki?

Ndugu wana Jf nimeona nilete uzi huu kwenu.
Unakuta mdada ni mrembo tena anavutia ila sasa upande wa pili ni mchafu kupindukia. Simaanishi uchafu wa mwili la asha.
Yan unakuta labda kaja kukutembelea ghetto kwa siku kadhaa ila utashangaa ni mtu ambaye yuko careless yan hawez ata kupiga deki, kuosha vyombo, yani kila kitu kinakuwa ovyo mpka unakereka.
Na ukijaribu kumuuliza a najifanya anadeka kuwa kachoka na huenda mbali zaidi kuwa muwe mnaenda kula hotelin.
Chonde Chonde wadada kama mnavyopendeza njian plz bac muweze kuwa wasafi ata majumban kwenu.
Sasa hapo mchafu anayepaswa kubadilika ni nani? maana gheto ni lako wewe na vyombo vichafu vyako mwenyewe ushagharabagara wako binafsi, kwa ufupi kwa mujibu wa maelezo yako wewe binafsi ndio mchafu unayepaswa kubadilika na huyo mrembo ni mvivu tu ila msafi.
 
Yan unakuta labda kaja kukutembelea ghetto kwa siku kadhaa ila utashangaa ni mtu ambaye yuko careless yan hawez ata kupiga deki, kuosha vyombo, yani kila kitu kinakuwa ovyo mpka unakereka.
Tabia ya kuwachukua wasichana na kuwapeleka "ghetto" kwako na kufanya nao "uasherati" kwa siku kadhaa, huo ndiyo UCHAFU mbaya kuliko wote. ZINAA ni uchafu, acha zinaa, tafuta Mke uoe.

Unapofanya tendo la zinaa, unauchafua mwili wako na Roho yako pia. Badilika! Oa.
 
Mleta mada unataka kumgeuza mwenzako kijakazi? Yani kaja geto kwako halafu unataka mwenzako afanye kazi za 'mke' au za kijakazi? . Huenda kajiongeza . Anaona akifanya kazi zinazomhusu mke huenda ndoa akaikosa. Girlfriend sio mke, akikutembelea kwako usimpangie majukumu ya mke
 
Ni mke pekee anatakiwa kupelekwa kwako. Umeshauriwa hapo juu kuwa muwe mnaenda guest house. Unataka afanye majukumu ya mke..jiulize kwanza kama na wewe unatimiza majukumu ya mume. Na ungeombwa hela ungekuja kulalamika pia!
 
Usitake kumfanya mdada wa watu kama ndio housegirl wako Mkuu, kama unahitaji yote hayo ni vyema ukaoa kaka!
 
Mleta mada unataka kumgeuza mwenzako kijakazi? Yani kaja geto kwako halafu unataka mwenzako afanye kazi za 'mke' au za kijakazi? . Huenda kajiongeza . Anaona akifanya kazi zinazomhusu mke huenda ndoa akaikosa. Girlfriend sio mke, akikutembelea kwako usimpangie majukumu ya mke
Girlfriend hawez nitembelea ghetto na kukaa siku tatu alafu asifanye usafi. Kama shida ilikuwa kunipa papuchi bac alale ucku mmoja kesho asepe.
 
Kuna jamaa akiwa na mchumba wake nyumbani kwake, daily bidada anadeka anasema hapiki anaumwa kichwa so inabidi siku zote waende hotel au jamaa apike. Yani kila muda wa kuandaa chakula yeye husema anaumwa kichwa.
 
Inategemeana na ww kakukuta kwenye mazingira ganii kama unamademu wengi jee

Wengine tunafanyaga basi tu sababu sehemu niliyopo kwa wakati huo lazima pawe katika hali ya usafi ........Ila tunajua kabisa najipinda mgongo kesho unaingiza mtu mwingine
 
Ndugu wana JF,

Nimeona nilete uzi huu kwenu,

Unakuta mdada ni mrembo tena anavutia ila sasa upande wa pili ni mchafu kupindukia. Simaanishi uchafu wa mwili la asha.

Yani unakuta labda kaja kukutembelea ghetto kwa siku kadhaa ila utashangaa ni mtu ambaye yuko careless yani hawezi ata kupiga deki, kuosha vyombo, yani kila kitu kinakuwa ovyo mpaka unakereka.

Na ukijaribu kumuuliza a najifanya anadeka kuwa kachoka na huenda mbali zaidi kuwa muwe mnaenda kula hotelini.

Chonde chonde wadada kama mnavyopendeza njiani tafadhali basi muweze kuwa wasafi hata majumbani kwenu.
hahha ungemfikishia tu taarifa mkuu
 
Back
Top Bottom