masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,467
- 19,703
Chadema ndio wamemleta zito dar na kumlea mpaka akapata umarufu lkn bado hana umarufu wa mnyika au lisu
Naona mnajifariji tu hapa,Kwa umaarufu gani mliokuwa nao? Labda umaarufu wa fujo na kuhorojoka ila zaidi ya hapo wabunge makini CHADEMA hawazidi watano.
Chadema ndio wamemleta zito dar na kumlea mpaka akapata umarufu lkn bado hana umarufu wa mnyika au lisu
zitto si chadema lakini mbona ni maarufu??
Naomba mnisaidie kujibu hili swali, kwanini wabunge wengi wa CHADEMA ni maarufu sana bungeni na nchini kwetu Tanzania?
Mimi nitaelezea sababu za wabunge wawili kuwa maarufu.Naomba mnisaidie kujibu hili swali, kwanini wabunge wengi wa CHADEMA ni maarufu sana bungeni na nchini kwetu Tanzania?
Kweli nimeamini akili ni nywele na kila mtu ana zake.....hii thread mbona ya hovyo sana.
jibu ni rahisi sana , ni hivi cdm imetuma wawakilishi bungeni kutetea wananchi wanyonge dhidi ya mkoloni wa kijani , na uzuri ni kwamba wananchi wameona na kuikubali kazi hii .Naomba mnisaidie kujibu hili swali, kwanini wabunge wengi wa CHADEMA ni maarufu sana bungeni na nchini kwetu Tanzania?
Zitto amejiinua mwenyewe.na ndiye aliyeinua cdm
Kweli ukijua kuandika unakuwa na uhuru wa kuandika. Kaainua Chadema kwenye nini? Mbona watu mnakuwa na mawazo mgando kama maziwa ya mtindi? Taabu ya walio maliza shule mwaka jana na juzi ndio hii! Sio kila kitu lazima mchangie vingine someni tuu ili muelimike.
zitto si chadema lakini mbona ni maarufu??