Kwanini wabunge wengi wa CHADEMA ni maarufu?

MKONGA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
667
Reaction score
458
Naomba mnisaidie kujibu hili swali, kwanini wabunge wengi wa CHADEMA ni maarufu sana bungeni na nchini kwetu Tanzania?
 
Kwa sababu wanatimiza wajibu wao uliowapeleka Bungeni kama wawakilishi wa Watanzania kupitia majimbo mbali mbali ukinganisha na hawa Wabunge uchwara akina ndiyoooooooo, kuchapa usingizi, kutohudhuria vikao vingi vya Bunge na kuwa wa kwanza kudai nyongeza ya mishahara na marupurupu kila mwaka eti gharama za kujikimu katika jiji la Dom zmekuwa kubwa mno.

Nomba mnisaidie kujibu hili swali kwanini wabunge wengi wa chadema ni maarufu sana bungeni na nchini kwetu tanzania
 
Kwa sababu walipelekwa pale bungeni na wananchi sio fedha yao iliwapeleka. Walipofika wakajua waajiri wao waliwatuma nini. Kama ni fedha yako imekuwezesha kuingia, utazitafuta kwanza fedha hivyo utajichunga usikosekane pale ukapitwa na posho.
Ndo maana wanajilalia tuuu wanaposikia "Ndiyooooooo" wanakurupuka na kusema hivyo. Chadema wanafuatilia mjadala na kuuchangia kufuatia hitaji la taifa
 
Wanajituma,wapo makini....bila wao bunge litalalaa
 
Wanatimiza wajibu wa kibunge wa kuisimamia na kuishauri serikali, wale wa CCM ni mizigo kwa taifa na maiti kwa serikali, inakoelekea serikali na wao huko huko.
 
Kweli nimeamini akili ni nywele na kila mtu ana zake.....hii thread mbona ya hovyo sana.
 
Kwa sababu wanatimiza wajibu wao uliowapeleka Bungeni kama wawakilishi wa Watanzania kupitia majimbo mbali mbali ukinganisha na hawa Wabunge uchwara akina ndiyoooooooo, kuchapa usingizi, kutohudhuria vikao vingi vya Bunge na kuwa wa kwanza kudai nyongeza ya mishahara na marupurupu kila mwaka eti gharama za kujikimu katika jiji la Dom zmekuwa kubwa mno.

True BAK
 
Last edited by a moderator:
Kweli nimeamini akili ni nywele na kila mtu ana zake.....hii thread mbona ya hovyo sana.

Km ni mbovu mbona umekoment. Wewe ndio Mjinga . Waache Makamanda wakoment ww subiria ikija Mada inayohusu Fisi na Chatu wa Kinana. Chama cha Mafisi.
 
Hebu tuwataje tuone kama kweli wengi ni maarufu. . . . . .

Iko mizigo na huko pia. . , . .wazuri watajwe na wanaobebwa watajwe pia si kweli kuwa "wengi" ni maarufu au wazuri
 
Nomba mnisaidie kujibu hili swali kwanini wabunge wengi wa chadema ni maarufu sana bungeni na nchini kwetu tanzania
Jitahidi walau uangalie vikao vya bunge runingani angalau mara tatu kwa juma kila bunge linapokaa huko Dodoma, ukishindwa jaribu kuhudhuria mikutano yao ya hadhara.
 
Naona mnajifariji tu hapa,Kwa umaarufu gani mliokuwa nao? Labda umaarufu wa fujo na kuhorojoka ila zaidi ya hapo wabunge makini CHADEMA hawazidi watano.
 
Mzee mbona unakimbia swali?
 
Naona mnajifariji tu hapa,Kwa umaarufu gani mliokuwa nao? Labda umaarufu wa fujo na kuhorojoka ila zaidi ya hapo wabunge makini CHADEMA hawazidi watano.
Hakuna kulala
 
Attachments

  • 1427656002118.jpg
    1427656002118.jpg
    21.7 KB · Views: 276
Naona mnajifariji tu hapa,Kwa umaarufu gani mliokuwa nao? Labda umaarufu wa fujo na kuhorojoka ila zaidi ya hapo wabunge makini CHADEMA hawazidi watano.
Cheki mambo hayo
 
Attachments

  • 1427656041115.jpg
    1427656041115.jpg
    22.4 KB · Views: 219
Back
Top Bottom