ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 555
wa chama cha majambazi hao
Kubenea sio Gazeti la Mwanahalisi. Kubenea ni Kubenea tuu,na gazeti la Mwanahalisi litabaki kuwa Mwanahalisi kwa vile lina sera zake hata kama zinafanana na tabia binafsi za Kubenea.Hufuatilii media wewe ZITTO, ndo alisema hakuna kuwa rafiki wa KUBEBENWA.
Hao wabunge lazima watakua ni wale mafisadi maana MWANAHALISI ilikua mwiba kwa mafisadi.
Halikuwa likiandika habari za kujenga taifa bali kuchochea chuki na migogoro katika jamii
Halikuwa likiandika habari za kujenga taifa bali kuchochea chuki na migogoro katika jamii
Hili gazeti lilikuwa la udaku ndio mana watu wenye akili timamu wanaliombea kifo