Wanawake wengine midomo yao inawaponza.
Hao watoto wana hakika gani kwamba hao wanaowashutumu kuwa wamewakimbia ni baba zao kweli? Wanawake tulizeni viuno, hii tabia yenu mbaya ya kuwabebesha watu mimba zisizo zao ndio mnatuletea majanga. Nimekutana na wewe leo, kesho kutwa una mimba...loh!
Tatizo la mijiyanawake mengine hasa ya kiafrika sijui yakoje ..unakutana nae leo tu kesho anakwambia ana mimba, utadhani alikua hajijui au wanafanya makusudi kabisa ili uyaoe , wengine unakuta alishindikanaga huko anatafuta pa kufia ..mwanaume huwa hakimbii hivihivi lazima utakuta kuna kitu kimemkwaza sana, hebu fikiri mkeo anakumbia unajipendekeza nini na huyu mtoto ni wako??? MKISHAPATA MIBUZI NYODOOOOO NDO INAWAPONZA !!!!!!!!!!
Mwanamme anasepa zake kama hana uhakika kama mtoto ni wake!
Kwa nini ubambikizwe halafu ulee mtoto wa mtu?
Mbona kuna wengine watoto ni wa kwao kabisa na bado wanakimbia wake zao. Sawa labda mama ana mdomo sana je ni vizuri kumuadhibu na mtotto asiye na kosa. Ni mibaba mingi sana inafanya hii kitu yaani hadi inauma walah halafu mtotto akikua kwa taabu na kufanikiwa wao ndio wa kwanza kuja kuomba msaada na kukwambia ubaya wa mama yako. Hapana hii haikubaliki kabisa lol.Tatizo la mijiyanawake mengine hasa ya kiafrika sijui yakoje ..unakutana nae leo tu kesho anakwambia ana mimba, utadhani alikua hajijui au wanafanya makusudi kabisa ili uyaoe , wengine unakuta alishindikanaga huko anatafuta pa kufia ..mwanaume huwa hakimbii hivihivi lazima utakuta kuna kitu kimemkwaza sana, hebu fikiri mkeo anakumbia unajipendekeza nini na huyu mtoto ni wako??? MKISHAPATA MIBUZI NYODOOOOO NDO INAWAPONZA !!!!!!!!!!
Wanaujua ukweli lkn wanatafuta visingizio tu , tumeshuhudia familia kadhaa mababa ni irresponsible kabisa yaani wanajifnya hamnazo. Kinamama wanahangaika weee kutunza hao watoto kwa kuchoma maandazi. Wao wako ulevini na vimwana wapya . Halafu bado baba huyo anamponda sana huko nje na kumpa kila aina ya sifa mbaya kasahau kuwa kamuachia watoto.Hao ndio wanaoitwa wanaume suruali. Si kila mwanaume alie na mtoto anastahili kuitwa baba. Kama hana majukumu kwa watoto wake, huyo ni sperm donor tu. Mlezi/mzazi ni yule anaewajibika, ambae anaweka drama zozote alizonazo na mzazi mwenzake ili kuhakikisha watoto wanalelewa vizuri na kutunzwa bila kuteswa.
Wanaolaumu kina mama ni washenzi tu. Kondomu zipo kama hamuwezi kufatilia siku za mwanamke wako. Kama huna mpango wa kuoa wala kutunza vitoto basi funga zipu, vaa kondomu, au acha kutembea na wanawake usiowaamini na usiokuwa na mpango wa kuoa!! Kama unaona umetegeshewa, nenda kapime DNA ijulikane kimoja, acheni visingizio.
Sasa ulitaka mimba iingie baada ya muda gani. Acheni hizo hebu tunzeni watoto wenu bhana . Tena baba wa hivyo ndio wa kwanza kudai matunzo waonapo watoto wao mambo safi, bila hata aibu.Hao watoto wana hakika gani kwamba hao wanaowashutumu kuwa wamewakimbia ni baba zao kweli? Wanawake tulizeni viuno, hii tabia yenu mbaya ya kuwabebesha watu mimba zisizo zao ndio mnatuletea majanga. Nimekutana na wewe leo, kesho kutwa una mimba...loh!
Na mtotto je anaponzwa na niniWanawake wengine midomo yao inawaponza.
Makubaliano kabla ya sex yalikuwaje?
Huku ninapoishi kuna kabila fulani ambalo ukisimama na mwanamke kando ya barabara mchana kweupe, ile unamuuliza jina lake tu, mwenzio huku anapiga multiple-orgasm, ghafla anatafuta maliwato ili ajiswafi...anachotaka ni kufanywa tu, hawataki maneno ya kupamba!, ukiongea sn unaitwa Mswahili!
Now, unategemea nini kwa mwanamke wa aina hyo? Si msala huo? Ukibeba mtu wa aina hiyo tegemea baada ya wiki mbili atakwambia "sioni siku zangu"..!
Kweli sidhan kama mtu wa aina hiyo mwanaume atakuwa radhi kuingia mkataba wa kubeba mzigo huo, maana mawazo yao yanaishia kwny ngono, hayavuki hapo hata milimita moja...seenzi kabisa.
Makubaliano kabla ya sex yalikuwaje?
Huku ninapoishi kuna kabila fulani ambalo ukisimama na mwanamke kando ya barabara mchana kweupe, ile unamuuliza jina lake tu, mwenzio huku anapiga multiple-orgasm, ghafla anatafuta maliwato ili ajiswafi...anachotaka ni kufanywa tu, hawataki maneno ya kupamba!, ukiongea sn unaitwa Mswahili!
Now, unategemea nini kwa mwanamke wa aina hyo? Si msala huo? Ukibeba mtu wa aina hiyo tegemea baada ya wiki mbili atakwambia "sioni siku zangu"..!
Kweli sidhan kama mtu wa aina hiyo mwanaume atakuwa radhi kuingia mkataba wa kubeba mzigo huo, maana mawazo yao yanaishia kwny ngono, hayavuki hapo hata milimita moja...seenzi kabisa.