Kwanini waarabu na wayahudi wasisemwe?

Kwanini waarabu na wayahudi wasisemwe?

prenge

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
218
Reaction score
277
Nimegundua jamii forum ukiwagusa waarabu au wayahudi mjadala unakuwa mkali sana..
Mbaya zaidi matusi,kejeli na kashfa kibao juu ya imani za watu...
Wadau tambueni hizo jamii ni binadamu km wengine wanamapungufu yao km ulivyokuwa wewe mswahili...
NB: heshimu kila MTU...toa sifa na kosoa pale inapobidi....
 
"Emancipate yourself from mental slavery; Non but yourself can free your mind. Have no fear for atomic energy, cau non of them can stop the time.

" Bob Marley.
 
Redemption song
 
Redemption song
Tokea Jana nipo YouTube mpaka saizi unavyoniona

Jamaa alikuwa anawaamsha waAfrika na maneno yake yakifalsafa ,WaAfrika wanyanyuke ,na wakatae utumwa wa kifikra lakini ndio kama hivyo watu wameshashikiwa fikra na akili na vigumu sana kuwaondoa kwenye utumwa na fikra hizo ..

Leo hii akitokea myahudi au mwarabu ni rahisi sana mtu kuiuza nchi yake kwa hao watu haswa waliopo kwenye taasisi nyeti
 
Yahudi kwa.............sto na waarabu kwa ......mu aaaaah aaaaah uwaambii kitu...MTU yuko tayari kuuza nchi hata kumuua ndugu yake
 
Kuna alipewa twiga
 
Ni vigumu kutoka ktk huu mnyororo.
Mshindi ndie huandika historia. Concious kwetu waafrika iliondoka na akina Marcus garvey akina Bob Marley etc
Kadri miaka inaenda tutajikuta chakula chetu cha asili ni burger na tutaamini waliotutoa gizani ni Arabs + wayahudi
 
Huwezi kumuoa pure Arab au Jews kirahisi ni moja ya jamii Katili duniani kuua kwao ni very simple
watu kibao wameoa/olewa na warabu na wayahudi vilevile. labda huku shitholes ndio hayo yanaonekana maajabu
 
Yahudi kwa.............sto na waarabu kwa ......mu aaaaah aaaaah uwaambii kitu...MTU yuko tayari kuuza nchi hata kumuua ndugu yake
unaficha nini sema tu yahudi kwa wakristo na arabu kwa waislamu
 
Mleta uzi umesema kweli ni upuuzi mtupu kuwashabikia watu wanaotuchukulia kama watumwa na wanyama wa kuwafanya vyovyote wapendavyo. Wengine wanadai hata kuomba Mungu (dua) mpaka kwa lugha yao ya asili. Eti lugha zetu za kiafrica ni za kipagani!!! AIBU YETU WAAFRICA
 
Husichokoze watu
 
Ni vigumu kutoka ktk huu mnyororo.
Mshindi ndie huandika historia. Concious kwetu waafrika iliondoka na akina Marcus garvey akina Bob Marley etc
Kadri miaka inaenda tutajikuta chakula chetu cha asili ni burger na tutaamini waliotutoa gizani ni Arabs + wayahudi
Garvey nilikuwa natizama video Bob anahojiwa leo alisema mashuleni badala watu wafundishwe akina Garvey badala yake wanafundishwa akina nani sijui ,totally brainwashed

Vigumu mno
 
Back
Top Bottom