Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,593
- 6,934
Point yako inauhusiano gani na waafrika kufukuzwa Israel. Ndomana mnafeligi mitihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na nani tunafeligi mitihani?
Point yako inauhusiano gani na waafrika kufukuzwa Israel. Ndomana mnafeligi mitihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika hawapendwi popote, sio Israel tu...Kasome jinsi biashara ya utumwa inavyoendelea hadi leo huko Mauritania kwa Waafrika wenzetu...Mwarabu anaamini mtu mweusi kaumbwa wa daraja la chini ili kumtumikia.
Huko Uarabuni wadada wa Kiafrika wanapitia mateso ya ajabu kutoka kwa Waarabu sababu ya rangi yao
Nchi za Tunisia, Misri, Morocco japo tupo bara moja zinawabagua waafrika weusi kuliko hata wazungu...
https://www.theguardian.com/global-...unspeakable-truth-about-slavery-in-mauritania
Wao wanataka kuwa watumwa waache wakauzwe kama nyanyaWaafrika hatunaga kazi za kufanya, bado tu tunafikiriaga utumwa. Utumwa wenyewe ulifanywa na wazungu wakishirikiana na weusi wenzetu.
Wao wanataka kuwa watumwa waache wakauzwe kama nyanya
mpuuzi mpuuzi tu
Wayahudi weusi hawatakuelewa,
1~Kwanza kabisa yahudi anamkana yesu,na hilo yahudi mweusi analijuwa sana ila wanajitoa ufahamu.
2~Yahudi hautambui ukristo ila yahudi mweusi anaeutambua ukristo atamtetea na kumsapoti bila sababu yoyote.
3~Waafrika wanateswa na kufukuzwa hilo nalo wanajitoa ufahamu,
Yani myahudi akinya, myahudi mweusi yuko tayari kwenda kuyazoa yale mavi, hata akiambiwa yashike kwa mkono nae atayashika kweli.
at certain time in the future hii democracy itabidi tuidefine upya!..
Wahabeshi wangapi wamefia kwenye magari wakipita na wale wanaopona wanawekwa magerezani? Wakimbizi wa kirundi au Rwanda walishapewa kazi kama siyo kuwekwa makambini na misaada siyo ya tanzania bali ya UN. Hawa wakienda Israel wanaishi kuwa mitaani na kuwa omba omba.Acheni ujinga wakimbizi sio huko hata hapa kwetu tanzania wa ethiopia wanapata tabu sana tena ni wapita njia angalia wanavyonynyaswa na ni waafrica wenzetu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapa utakuta waathirika wakuu ni wafia dini.Wayahudi weusi hawatakuelewa,
1~Kwanza kabisa yahudi anamkana yesu,na hilo yahudi mweusi analijuwa sana ila wanajitoa ufahamu.
2~Yahudi hautambui ukristo ila yahudi mweusi anaeutambua ukristo atamtetea na kumsapoti bila sababu yoyote.
3~Waafrika wanateswa na kufukuzwa hilo nalo wanajitoa ufahamu,
Yani myahudi akinya, myahudi mweusi yuko tayari kwenda kuyazoa yale mavi, hata akiambiwa yashike kwa mkono nae atayashika kweli.
Kwasababu Saudia sio taifa teuleKama waarabu wako safi mbona wahamiaji haram toka nchi za kiarabu wasikimbilie huko Saudia na badala yake maelf kwa maelf wake tayari kufia baharini ili mradi tu kupata nafasi ya kuishi kwa wazungu makafir???
Sent using Jamii Forums mobile app