MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Nchi nyingi za Africa zimeongozwa na vyama vya ukombozi toka Uhuru mpaka leo.
Mfano wa vyama hivyo ni ANC,MPLA,ZANU PF ,FELIMO na vingine vingi tu.
Vyama hivi vina kikundi Fulani cha watu wanaofaidi keki ya Taifa husika toka miaka hiyo ya nyuma na hulindana sana kwa nguvu ya Dola.
Vyama hivi vimeshindwa kumkomboa mwanainchi kiuchumi ktk mataifa mengi ya Africa.
Nini kifanyike kwa viongozi wa vyama hivi na vyama vyenyewe.???