Kama tulitawaliwa na Waingereza kwanini viongozi wa Uingereza wao ni wepesi sana kuwajibika hasa pale wanapoona uamuzi wao wa kufanya jambo umeleta madhara?
Sasa hivi hakuna asiyejua kuwa hali ya uchumi Wa Tanzania ni mbaya sana. Lakini mpaka sasa hakuna dalili za Waziri mwenye dhamana hii kujiuzulu.
Shirika la umeme Tanesco juzi ktk vyombo vya habari nalo liko hoi bin taabani, hatuoni dalili zozote za Waziri anayehusika kujiuzulu, kwanini wanakuwa wagumu namna hio.?