Kwanini Vijana??

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
kwa nini vijana wa siku hizi
hawawezi kuwa na mpenzi mmoja?
 
kwa nini vijana wa siku hizi
hawawezi kuwa na mpenzi mmoja?

Mkishiba tabu! Mkiwa na njaa tabu! Aliyekwambia vijana wa siku hizi hawawezi kuwa na mpenzi mmoja ni nani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tunapenda kugegeda na wanawake wamekuwa rahisi sana kupatikana....ebu wee tafuta hela alafu uone utakavyofuatwa na mademu
 
Yaani jamaa kajiangalia yeye alafu aka'generalize.
 
Eti vijana wa siku hizi. Utafikiri hiyo zamani alikuwepo.
 
Uuuuwiii jukwaa limevamiwa,hivi matokeo ya form 4 yanatoka lini?
 
kwa nini vijana wa siku hizi
hawawezi kuwa na mpenzi mmoja?

tupo wachache sana ambao tupo smart kimtazamo na kimwelekeo wa future, na mademu wengi wanapenda smart boyz, so competition ya dada zetu ni kubwa ukizingatia wao ni wengi tena wote
ni warembo balaaaaaaaa
 
Hebu kwanza tupe sababu kwanin we hujatulia na mmoja
 
kwa nini vijana wa siku hizi
hawawezi kuwa na mpenzi mmoja?

Wanafuata mfano wa mzee wao King Mswati III.

Look, usilaumu vijana kwa kitu ambacho utamaduni wetu mzima unaku glorify.
 
watoto hawajakomaaa na wazee wamezeeka hawana nguvu ndo mana vijana 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…