Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,648 Reaction score 49,076 Oct 8, 2024 #1 Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi. Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa". Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua".
Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi. Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa". Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua".
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 34,399 Reaction score 80,072 Oct 8, 2024 #2 😃
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,303 Oct 8, 2024 #3 Mshua
C CalvinPower JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 1,676 Reaction score 1,061 Oct 8, 2024 #4 Mshua ni ya miaka mingi sana. Mm nikiwa mdogo washkaji zangu walikuwa wananiambia mshua wako ni pai nn? Mbina anapiga mashati ya cuba.
Mshua ni ya miaka mingi sana. Mm nikiwa mdogo washkaji zangu walikuwa wananiambia mshua wako ni pai nn? Mbina anapiga mashati ya cuba.
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,065 Reaction score 21,549 Oct 8, 2024 #5 Stroke said: Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi. Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa". Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua". Click to expand... Mshua manake unafanya watoto wako wajione wa kishua
Stroke said: Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi. Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa". Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua". Click to expand... Mshua manake unafanya watoto wako wajione wa kishua
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,932 Reaction score 7,095 Oct 8, 2024 #6 Kama huna fedha huwezi itwa mshua Utaishia kuitwa fazaaa
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,648 Reaction score 49,076 Oct 8, 2024 Thread starter #7 Numbisa said: Mshua Click to expand... Ndio mambo gani tena haya. Kumbe mpo mpaka huku?
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,648 Reaction score 49,076 Oct 8, 2024 Thread starter #8 Marcy said: Kama huna fedha huwezi itwa mshua Utaishia kuitwa fazaaa Click to expand... Aisee sikujua kuwa huwa wana maanisha hivi.
Marcy said: Kama huna fedha huwezi itwa mshua Utaishia kuitwa fazaaa Click to expand... Aisee sikujua kuwa huwa wana maanisha hivi.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,597 Oct 8, 2024 #9 Mshua, mtoto wa kishua, ushuwani. Mbona sio neno jipya.
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,932 Reaction score 7,095 Oct 8, 2024 #10 Stroke said: Aisee sikujua kuwa huwa wana maanisha hivi. Click to expand... Ndio ujue sasa wew wanakuita vipi🤣🤣😅
Stroke said: Aisee sikujua kuwa huwa wana maanisha hivi. Click to expand... Ndio ujue sasa wew wanakuita vipi🤣🤣😅
Chujio JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 1,453 Reaction score 2,393 Oct 9, 2024 #11 Tulikuwaga tunamuita dingi mjerumani sio kwa utata ule 🤣