Kwanini vijana wanakufa sana kushinda wazee?

Mtuache

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
260
Reaction score
712
Kifo hakina umri, hakichagui mtoto babu au kijana. Lakini ilishazoeleka kuwa wazee ndo hufariki sana kuliko rika lolote lile duniani.

Miaka ya hivi karibuni mambo yamekuwa tofauti sana, vijana wanakufa sana kuliko wazee. Ukifatailiwa trend ya misiba au idadi ya vifo mahospitalini utakubaliana na mimi

SWALI: JE, UNADHANI KWANINI SIKUHIZI VIJANA WANAKUFA SANA KULIKO WAZEE..?
 
Japo utafiti wako ni wa kimtazamo na sio data. Na mimi nitachangia kimtazamo. Vijana kwa Sasa wanapambana sana na life na wapo tayari kwa lolote. Wanafanya Kazi hatarishi, wale ambao wamejikatia tamaa, hakuna ajira, wanapata stress na wanaishia kulewa na kutumia dawa za kulevya. Wale wakike wanaishia kujiuza na kudanga danga. Hayo yote yanawaweka vijana kwenye mazingira ya karibu na kifo.
 
Kifo hakina umri, hakichagui mtoto babu au kijana. Lakini ilishazoeleka kuwa wazee ndo hufariki sana kuliko rika lolote lile duniani.

Miaka ya hivi karibuni mambo yamekuwa tofauti sana, vijana wanakufa sana kuliko wazee. Ukifatailiwa trend ya misiba au idadi ya vifo mahospitalini utakubaliana na mimi

SWALI: JE, UNADHANI KWANINI SIKUHIZI VIJANA WANAKUFA SANA KULIKO WAZEE..?
Msongo unachangia,na maisha ya kibwenyenye Kwa wenye nazo kidogo,au hata zile za kukwapua🤔
 
Kifo hakina umri, hakichagui mtoto babu au kijana. Lakini ilishazoeleka kuwa wazee ndo hufariki sana kuliko rika lolote lile duniani.

Miaka ya hivi karibuni mambo yamekuwa tofauti sana, vijana wanakufa sana kuliko wazee. Ukifatailiwa trend ya misiba au idadi ya vifo mahospitalini utakubaliana na mimi

SWALI: JE, UNADHANI KWANINI SIKUHIZI VIJANA WANAKUFA SANA KULIKO WAZEE..?
MSONGO/DEPRESSION

MAGONJWA

WIVU WA KIMAPENZI
 
Pengine Ni kweli vijana wanakufa Sana.
Lakini changamoto za Leo dhidi ya vijana Ni nyingi Sana. Hizi hazikuwepo miaka 80 au 90 iliyopita.
1. Magonjwa ya kuua taratibu. UKIMWI mfanowe.
2. Vyakula vya sumu ambavyo huitwa vya haraka na salama.
3.Mitandao ya kijamii inapelekea stress na presha.
4.Mapenzi yaso ya kweli. Haya yanawaua wengi zaidi. Tuwape pole
5.Ukosefu wa ajira.
Tofauti na zamani ajira leo ni changamoto kubwa. Imekua ikitia vijana msongo na hivyo kufa mapema.
Ongeza nyingine za kinadharia

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana hivyo kwasababu vijana ni wengi kuliko wazee.

Ila ratio wise ni sawa ila interms of idadi ni kubwa.
 
Hiyo
Kifo hakina umri, hakichagui mtoto babu au kijana. Lakini ilishazoeleka kuwa wazee ndo hufariki sana kuliko rika lolote lile duniani.

Miaka ya hivi karibuni mambo yamekuwa tofauti sana, vijana wanakufa sana kuliko wazee. Ukifatailiwa trend ya misiba au idadi ya vifo mahospitalini utakubaliana na mimi

SWALI: JE, UNADHANI KWANINI SIKUHIZI VIJANA WANAKUFA SANA KULIKO WAZEE..?
Hiyo takwimu umetoa wap
 
Back
Top Bottom