Kwanini VETA inachelewesha vyeti vya wahitimu?

Kwanini VETA inachelewesha vyeti vya wahitimu?

Moussa21

Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
52
Reaction score
16
hivi VETA mna matatizo gani??? Inawachukua mwaka mzima mpaka kutoa vyeti kwa wahitimu wenu. Hamuoni kama tunarudishana nyuma? Mtu anamaliza level 3 mwaka 2017 anasubili cheti mpaka 2019 kweli? Au Nyie mko nje ya wizara ya elimu mseme. au hamjapewa kipaumbele..

Attachments:
 
Acha hizo Veta hawafuati Cheti wanafuata ujuzi
 
Kama document zako hazijakaa sawa lazima cheti chako kichelewe, either huna picha ama CAs hazijakaa sawa yaan una incomplete ( hii mkuu hata urudie mtihani miaka saba hautafaulu) na cheti hakiji, matatizo haya yanajitokeza sana hasa vyuo binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kuna haja wahusika waangalie namba bora kwamfano waliohitimu MWAKA 2022 hawajapata vyeti ili kuomba kozi katika Elimu ya juu. Wanakwamisha ndoto za vijana.
 
Wale ni wapumbavu sijapata kuona yani wapo wapo tu,,mwaka mzima cheti hakuna.
 
Back
Top Bottom