Kwanini uteuzi wa Nchimbi unachukuliwa kama hujuma kisiasa?

Alikisaliti chama wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kuwa alikuwa Team Lowasa. Intellijensia ya Lumumba imefanya kazi sana. Luhwavi na Nchimbi out CCM
Akili mgando mwaka wa 42 na ushehe toka tupate uhuru tuna madini ya kila aina, mbuga za wanyama tena wengine wasiopatikana popote zaidi ya Tanzania, mito, maziwa makubwa na madogo, mlima kilimanjaro , bahari n.k eti bado kuna vijiji hawajui mwanga wa taa ya umeme ni nini , hawajui choo salama na bora, wanafunzi wanasomea chini ya mwembe barabara mbofumbofu halafu unakuja kupiga porojo za kisiasa humu bila hata hofu ya Mungu misomi mingine bwana hovyo kabisa Rais keshawaambia wakati wa siasa umekwisha fanyeni kazi bado kuna miwatu mnawaza kupewa vyeo vya kisiasa kazi bado tunayo kwa mawazo haya mgando.
 
Alikisaliti chama wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kuwa alikuwa Team Lowasa. Intellijensia ya Lumumba imefanya kazi sana. Luhwavi na Nchimbi out CCM
Kwahiyo unataka kutuambia huko ccm adhabu ya msaliti ni kupewa ubalozi?
Wenzetu mmeendelea sana!
 
Uongo upi? utaje, be objective; by the way umejuaje mimi ni mama? Be scientific, make experimentation before you conclude. It is only Albert Einstein in history who was making the opposite in Science!
Na kabla ya experiment afanye kwanza observation
 
anakula matapishi yake si alisema wale wote waliokuwa wanaimba wanaimani na lowasa angewapoteza!
Sasa ameona hakuna namna
Huyo ndio anampoteza kisiasa, term ya ubalozi wake ikiisha hakuna atakae mkumbuka na nguvu yake ndani ya chama itakuwa imepotea. Labda awe na mkakati wa chini kwa chini, vinginevyo ndio ametoka huyo.
 
Alikisaliti chama wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kuwa alikuwa Team Lowasa. Intellijensia ya Lumumba imefanya kazi sana. Luhwavi na Nchimbi out CCM
To me I just take as sort of crude politics trying to emerge because more than 85% ccm members all over the country supported Mr Lowasa and more than 95% MPs from ccm during 10th parliament supported Mr Lowasa also, they believed he could be the 5th president of this country during the last general election. Unfortunately enough the name of Mr lowasa was omitted early in the process of getting ccm presidential candidate that's why Magufuli penetrated through a sieve otherwise Mr Magufuli he could not get this chance of being Mr president of URT. By giving them posts of ambassador to Mr Nchimbi and Mr Luhavi to me it helps nothing as I said earlier during the last general election Mr Lowasa he had a lot of supporters from both ccm members and top officials so it extremely impossible for Mr president invent ccm as people remain the same (wale wale) basic on that statistics.
 
Habari wana jamvi

Dr E.nchimbi
Nimwanasiasa machachali ,asie jua kuongea nimemfahamu toka nipo SONGEA boys .Nchimbi ana CV nzuri sana kwenye upande wa mipango ya ushindi na Ushindi mfano kama unakumbuka lowasa alivyotolewa kwenye orodha ya wagombea yeye ndio alijulisha dunia kuwa lowasa kaonewa kama asinge toka nje baasi upande wapili wange simama kuwa hakuonewa lowasa na kusinge kuwa na kisingizio kwa mzee wetu kukatwa kwake.Hii haikufanywa Bahati mbaya

Team lowasa tunakazi kubwa sana ya kuweka watu wetu kwenye uchaguzi wa Ccm mwakani najua wapo wengi na wote watagombea nafasi tofauti . hii itaimalisha chadema na upande wa upinzani kwani bwana mkubwa atakwama kuaanzia kwenye shina ,tawi,kata, wilaya hadi mikoa hapo ndio Ccm itakua imekwisha .

Tunaitaji team lowasa kuendelea kukua ndani ya Ccm kuliko sehemu yoyote .kukuwa na upinzani Mkubwa ndani ya chama ndio matikeo makubwa ya anguko la ccm

Kuendelea kukubali vyeo na kutoka ni kutupunguza nguvu team Lowasa
Team lowasa bado tunanguvu sana ndani kwan ccm na sasa tunazidi kukuana kuimalika kuliko wakati mwingine kwan kuna magroup mengine yameongezeka na kuwa automatic team lowasa

Kundi izo ni
(1) Wafia chama
Hawa ni wale Ccm ambao hawana kitu wanamapenzi na chama hata ikawaje huwa wanasema chama kwanza .hawa wengi wameisoma namba kwa kua ni wafanyabiashara Ndogo Ndogo .Hawa ndio walio kuwa wanapiga push up barabarani maeneo mengi wamekua wakisumbuliwa na mapolisi wwngine wanawekaga Biashara na bendera za chama ili kutosumbuliwa ila this time niwale tofauti .hawa kwenye chama ndio wapiga mizinga wakubwa kwa wabunge ila wanakijua chama vzr .hawa watatuunga na sisi kuwa na nduvu kubwa ndani ya chama .

(2) CCM maslai
Hawa ni makada ya Ccm ambao walikua wanakitumia chama kupitisha mambo yao na wengi walikua wakwepa kodi na wanufaika wakubwa na maliasili ya nchi hawa ndio wazamin wa vikao na ndio wadhamin wa kundi la kwanza mabakili huwa yanapita ofisini kwao na wengine wanaitwa kwenye mialiko ya kuchangia chama . hawa lazima waungane na sisi kwakua watapinga moja kwa moja na mkuu so team lowasa watakua na nguvu .

KAMA ALIVYO ONGEA MWALIMU UPINZANI WA KWELI UTATOKA NDANI YA CCM #E.NCHIMBI BADO TUNAKUITAJI NDANI YA CHAMA
 
Back
Top Bottom