Kwanini uteuzi wa Nchimbi unachukuliwa kama hujuma kisiasa?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Nimepitia magazeti mengi ya Leo na mengi yaliyoandika juu ya uteuzi Wa mabalozi yanaonesha kuwa uteuzi huo ni Wa kimkakati hasa ukilenga kuwapunguza nguvu kisiasa au kuwaua kabisa baadhi ya wanasiasa akiwemo Dr Chimbi. cha kushangaza zaidi hata wanaccm wenyewe wanashangilia Nchimbi kupewa ubalozi eti kapotezwa kisiasa ukizingatia jamaa alikuwa mpiganaji na alisimamia kile anachokiamini na ndio maana ndani ya ccm hakupendwa.

Nchimbi kama bado ana ndoto za kuendelea na siasa inabidi hapa apaone vinginevyo kapatikana kweli kama wasemavyo wanalumumba
 
Nchimbi was a strong believer of Lowasa, one doubts why Mtukufu is so "loving" of Nchimbi to offer him such a lovely" job? Taking into consideration that the Mtukufu is a man of revenge!
 
Umenena mkuu
 
Alikisaliti chama wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kuwa alikuwa Team Lowasa. Intellijensia ya Lumumba imefanya kazi sana. Luhwavi na Nchimbi out CCM
 
Mkuu Lizaboni anajua yote hayo, ukimuuliza anakypa data zote......
 
Alikisaliti chama wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kuwa alikuwa Team Lowasa. Intellijensia ya Lumumba imefanya kazi sana. Luhwavi na Nchimbi out CCM

kwani ni lazima kwenda huku? hawezi kuacha?
 
Nchimbi was a strong believer of Lowasa, one doubts why Mtukufu is so "loving" of Nchimbi to offer him such a lovely" job? Taking into consideration that the Mtukufu is a man of revenge!
Alitoka front kupinga dhulma, hii mambo hayahitaji spot spot kuunganisha dots
 
anakula matapishi yake si alisema wale wote waliokuwa wanaimba wanaimani na lowasa angewapoteza!
Sasa ameona hakuna namna
 
Si ndo wanapotezwa, kutoka Wizara ya Mambo ya ndan mpaka Ubalozini !
 
Nchimbi atarudi 2020 kuja kugombea ubunge songea mjini kwani Gama kashaonekana hafai kwa mtazamo wa madiwani baazi wa Ccm

Mwacheni akale bata apate wafadhili ili akirudi achukue jimbo la songea tena
 
Back
Top Bottom