John kisomo
Member
- Jan 21, 2019
- 22
- 40
*MADA NUMBA 1: FREE REFERENCE MANAGEMENT SOFTWARE*
Uandishi wa paper, assignment au thesis hutegemea Zaidi organized citation na reference ambazo huifanya kazi yako kuwa na uhalali na pindi unapokosea kwenye vitu hivi huifanya kazi yako kua namashaka makubwa kwenye *(plagiarism)*.
Namna yakuandika maandiko hotofautiana kwa style na quality ila bado maandiko mazuri yatabaki kuwa supported na citations na reliable reference.
Kwenye referrence, academician wengi hutumia software ambazo ni reference manager ambazo hurahisisha kazi wakati wa uandishi wako. Zipo reference manager nyingi ambazo zinatumika ila reference manager tunazipendekeza ni hizi tatu (4) kwasababu ni rahisi kuzitumia na nifree of charge. Hizi ni resources ambazo hazitakuhitaji a penny kuweza kuzitumia;
*1.Mendeley Desktop*, hii ni rahisi kuitumia hasa kwa mtu ambaye anaanza kwenye uandishi, hailipiwi unaeza kuidownoload na kuinstall kwenye pc yko tu na pia ni user frendly kwa user wa mara ya kwanza (Kwa ziada unaeza tembelea: )
*2.Endnote (X6, X7,X8,X9)*, hii pia nimaarufu na inavitu vingi ndani yake. Kwa mtumiaji wa mara ya kwanza hashauriwi kutumia hii itamsumbua kidogo ila ni best reference manager ambayo inatumika duniani (Kwa ziada unaeza tembelea: EndNoteTraining)
*3.Zotero*, Zotero ni mingoni mwa softaware maarufu duniani na ambazo ina additional features za kueza kushare na kucreate groups hasa kwa wale ambao wanafanya kazi za pamoja. Ina features kama vile DROPBOX (Kwa ziada unaeza tembelea: ).
*4.CiteULike*, Hii pia ni aina ya reference manager ambazo inafanya kazi kama nyengine na ambayo ni free (Kwa ziada unaeza tembelea: )
Faida ya Reference manager hizi, nikukuwezesha kugenerate list ya reference zote ambazo umezicite ndani ya kazi yako bila yakua na hofu yakusahau baadhi au kueka pembeni kila reference unatoitunatoitumia, pia hundoa mashaka na kazi kwa muandishi, pia hizi reference manager zitaweza kuihifadhi kazi yako kwenye clouds na pindipo computer itaharibika, kupotea au kuibiwa itakukuwezesha kuzidownload kazi zako kwenye conputer nyengine(muhimu ni lazima uwe na account ambayo ulifungulia). Ziada ya hayo hukuwezesha kusoma PDF kwa urahisi (mf.kuandika note ndani yake, ku bold kwa wino n.k), Pia hukuwezesha kushare documents, references kwa urahisi kuenda kwa mutumiaji mwengine.
Nimuhimu sana tunapoandika tuandike kwa uweledi na kazi zetu ziwe bora kwa kufuata academic principles kwa yeyote (PhD au MBA). Tuepuke Kucopy bila ya citation and *kuparaphrase* kile tulichokichukua kwa mwengine. Kwani impact yake ni kubwa kama sio leo siku zijazo.