Kwanini usaliti umekithiri sana katika ndoa miaka hii?

Kwanini usaliti umekithiri sana katika ndoa miaka hii?

Siku hizi watu wanaingia ktk ndoa kama fashion Zaidi na sio kwa kusudi halisi yaani unakuta mtu anaingia ktk ndoa labda kwa ssb marafiki zake wote wanaoa au kuolewa hata kama bado mtu hayupo tayari kuingia ktk mfumo mpya wa kimaisha. Pia mitandao kwa asilimia fulani inachangia sana watu wamekua na matarajio makubwa mno kuliko uhalisia wanaoenda kukumbana nao.
 
Hii ni sababu kubwa sana, hasa Kwa wanawake, wengi wanaolewa na watu wasiowapenda, mwanamke akipenda uwezekano wa kucheating unapungua sana.
Siyo kupungua mkuu, uwezekano unakuwa haupo kabisa!! Mimi mwenyewe shahidi katika hili, Nili date mkaka nampendaa!! Yaani Ilikuwa hata nitongozwe natamani hata nimsemee! Yule kaka picha yake Ilikuwa ndo wallpaper, profile mpaka screensaver kwenye simu yangu.!! Haya mambo hayana fundi...
 
1. Wanaume hawajui wajibu wao ktk ndoa
2. Wanawake hawajui wajibu wao ktk ndoa
3. Jamii ya inayotuzunguka haitupi malezi ya kuishi ndoani
4.Utandawazi
5.CCM
No 5 imekaa vizuri,mume anarudi nyumbani kauzu,mambo yake hayaendi,mke anadhani huyu katoka kwa mchepuko ndio maana hamjali,nae anawatafuta kina marioo!
 
Back
Top Bottom