Habari wakuu,
Huwa naona kwenye bured de change wanabadilisha dollar kwa thamani tofauti, yaani note moja ya dollar 100 ina thamani kuliko note moja ya dollar 1 kwa mfano;
US $ CASH 50, 100 buy ni 2,228 NA sell ni 2,240
US $ CASH 5, 10, 20 buy ni 2,200 NA sell ni 2,220
US $ CASH 1, 2 buy ni 2,000 NA sell ni 2,220
pili dollar huwa inaisha muda wa matumizi?