Nipo single kwa sababu kila nikitongoza nakataliwa hii inatokana na kuwa sina swaga na pia sura yangu mbaya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][/QUOTEpole
tehe tehe tehe tehe teheNahisi majin/mashetanii walinywea supu ubavu wangu!!!
Umeona mbali Mkuu..Huu uzi utakuwa na fursa kibaooo..sibanduki
Pole sana aliyekusaliti hakukufanyia fairnipo cngo coz hatukuzaliwa mapacha
Kwani ukoje?kwa sababu sijapata anaenipenda jinsi nilivo
maskini sina helaKwani ukoje?
maskini kapukuKwani upo vipi miss embu baelezee bamutu na basanga banyosooo then humu humu atapatikana tu wa kwako