Kwanini ununue shares za DCB pale DSE(Dar es Salaam stock exchange)

Kwanini ununue shares za DCB pale DSE(Dar es Salaam stock exchange)

RMK Freelancers Agency

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2025
Posts
298
Reaction score
292

DCB stock is mooning!​

Back in the days wakati naijua financial markets I was so eager to buy stocks on DSE, and yes just like a lot of newbies In Tz, I started with CRDB Shares. Considering my income it was affordable because the price at the time ilikuwa kama ≈ 500 hivi, but when the stock started to go to the moon kwa speed ya mwendokasi express ya kimara ikaanza kuwa ngumu to afford CRDB Shares. So I started to find Kampuni ambayo iko na price ndogo so I can buy a lot of shares overtime. Since my objective was to hold for a long time, issue ya Kampuni ipi iko na low price lakini future yake ni nzuri was my priority and was crucified,.After deep research I fell in love with DCB shares, so nikawafollow kwenye social media zote, na kuanza kusoma financial statements crazily, though the company was struggling na haikuwa na history nzuri but I saw something! DCB ilionesha na still inaonyesha ina future nzuri, why????


1. Walitoa Right Issue kwa Bei ya Hasara (TZS 110) ili Kukusanya Mtaji Mpya kama capital restructuring. DCB ilitangaza rights issue mwaka 2024/2025 ili kukusanya fedha mpya kutoka kwa wanahisa wake.

Wakiwa na mpango wa kukusanya TZS 5.2 bilioni kusaidia kuimarisha capital adequacy ratio of the bank.

Bei ya rights issue ilikuwa TZS 110, wakati book value ni TZS 252/share — inaonesha kuwa wana nia ya kusaidia wanahisa, sio kuchukua advantage yao.
Hli lilifanyika ili kutumia pesa hizo kwenye:

- Kupanua mikopo

- Kufanikisha digitization

- Kuongeza liquidity

Hii ni dalili ya kampuni ambayo haikubali kufa kimya kimya – wanapambana ku-rescue biashara.

2. Mpango Mkakati Mpya (Strategic Plan)
DCB wameweka wazi katika AGM(Annual general meeting) kuwa wanaweka mkazo kwenye:

- Digital banking (mobile apps, agent banking, USSD services)

- SME Lending – targeting underserved small businesses

- Community Banking Expansion – wana lengo la kufungua branches mpya kwenye mikoa ambayo haijafikiwa na benki kubwa

- Products mpya – kama mikopo ya mashine za POS, mikopo ya wanafunzi, na account za watoto

- Hii ni “future-oriented strategy” – targeting retail customers ambao ni wengi lakini hawajafikiwa.

3️. Kupunguza Hasara na Kuimarisha Utendaji:
Kwa mujibu wa reports za mwaka wa fedha 2024, ingawa walikuwa bado wanapata hasara, hasara imepungua ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Benk inapunguza gharama za uendeshaji na kuondoa mikopo mibovu (bad loans).

Wanatengeneza cash flow improvement plan kwa miaka ijayo (2025–2027), hasa baada ya capital injection.

4️. Dhamira ya Kubaki Sokoni na Kuwa Listed
Hadi sasa DCB haijaondoka DSE (kama baadhi ya makampuni yaliyoshindwa), bado ina financial discipline ya kutoa reports, kufanya AGM, na ku-update wanahisa.

Wanajitahidi ku-restructure bad loans, kuweka mpango wa ku-grow, na kuwapa wanahisa transparency.

Kampuni nyingi zenye matatizo huteleza na kushindwa kuweka transparency. DCB bado inashikilia ethics za soko la mitaji. Are you there?

5️. Stable Shareholding Base & Government Link
Wenye hisa wakubwa ni pamoja na:

i. Halmashauri za jiji/miji (Dar es Salaam, Ilala, Kinondoni, etc.)

ii. NSSF
iii. Wananchi wa kawaida
Kama manispaa na shirika kubwa kama NSSF wanaiona future who I am or who are you there say no?

Kuna stake ya jamii (community ownership) ambayo inasaidia kampuni kuendelea kufikika na kuaminika sokoni. Hii ni tofauti na makampuni yaliyobinafsishwa au yamejaa foreign ownership.

Kwa ufupi: DCB inaonyesha mustakabali mzuri kwa sababu:
  • Inafanya capital injection
  • Ina mpango mkakati unaolenga ukuaji wa sekta ya digital & SME
  • inapunguza hasara na inafanya jitihada za kulipa madeni
  • inabaki kwenye soko na kutoa taarifa kwa uwazi.

6. Mpango Mkakati wa Kuvutia Wateja na Wawekezaji
DCB inafanya nini kuwavuta:
-Agent banking model – kupunguza gharama na kufika kwa watu wa kawaida

- Digital banking – kupambana na benki kubwa kama NMB kwa app/USSD

- Target ya wanawake, vijana, wafanyabiashara wadogo – kundi kubwa la Watanzania ambao hawajafikiwa na mabenki makubwa

Hii ni strategy ya muda mrefu ya kupanua base ya wateja, ambayo kwa mwekezaji ina maanisha:
-Kiasi cha amana kitapanda
  • Mapato ya riba yataongezeka
  • Dividends za baadaye zitawezekana

Ni nzuri kwa mtu anayetaka ku-save pesa kwa miaka 3–5DCB is Building Trust Again.
Wanatoa ripoti za fedha kama inavyotakiwa na DSE & CMSA
Wanashirikiana na regulators kuboresha internal controls.
Hii ni track record nzuri kwa investor yeyote mpya — trust huleta pesa, pesa huleta growth, na growth huleta returns!

Kwa Nini ununue Hisa za DCB???

  • Low Entry PriceUnaweza kuingia kwa TZS 150 au chini – bei ni fair kwa book value ya TZS 252
  • Rights Issue = Investors wanaamini, wanaconfidence, Hakuna anaeweka mzigo kwenye kwenye meli inayozama. Hii ni ishara nzuri, kama investors wakubwa wanaweka pesa wewe kwanini ujiogopeshe na hivyo vipesa ya nyanya?
  • Digital expansionWanajiandaa kupambana kidigitali , mahitaji ya kesho
  • Institutional SupportNSSF na halmashauri bado wamo ndani, wanatia mzigo!
  • Transparency & ComplianceInafuata sheria, inatoa ripoti — not a ghost company
  • Potential upsideUkivumilia miaka 3–4, kuna uwezekano wa 40%

Let me tell you this:
Rights Issue Outcome (Late 2024 – Early 2025)
DCB launched a rights issue in November–December 2024 offering 97,646,913 new ordinary shares at TZS 110 per share
This rights issue was fully subscribed (100%), raising TZS 10,741,160,430 in new capital, mpaka hapa bado hujasema wow?
Capital after Rights Issue
Paid-up capital increased from TZS 15 billion to TZS 25.74 billion, a 71.6% boost in capital base, yeah 15 billion.

Why Is This Important?
Investors Show Confidence
Full subscription means all eligible shareholders participated.

Participating institutions include municipal councils and NSSF, showing strong belief in DCB’s turnaround plan.

Immediate Liquidity Infusion
The fresh TZS 10.74 billion allows DCB to:

-Strengthen capital adequacy ratio
- Expand lending—especially to SMEs, women entrepreneurs, and small traders
-Invest in digital banking services and widen branch network.
- Supports Long-Term Strategy
This capital injection is aligned with DCB’s strategic business plan (2024–2028), including targets like:
i. Asset growth to TZS 362 billion

ii. Customer base expansion from ~156,000 to ~300,000

iii. NPL ratio reduction from ~17.7% to ~7%.

Summary at a Glance
DetailValue
Shares Offered97,646,913
Rights Issue PriceTZS 110/share
Funds RaisedTZS 10,741,160,430 (~TZS 10.74B)
Ownership Subscription100% fully subscribed
Paid-Up Capital After IssueTZS 25.74 billion
Capital Increase~71.6%

Uchambuzi wa Hisa za DCB Bank – DSE

1. Fundamentals

Sababu za kununua:
  • Low Price to Book (P/B) Ratio
    DCB inauzwa chini ya thamani yake halisi (book value). Hisa moja ina book value ya TZS 252, lakini market price ni chini ya TZS 160 hii ni discount ya zaidi ya 35%.
    Hii ina maana unanunua Shares kwa bei ya hasara, if you want to invest smart hii imekaa poa.
  • Potential Turnaround
    Kampuni ilikuwa kwenye kipindi kigumu (losses), lakini sasa kuna dalili za kurecover. Kuna mikakati ya kuongeza mikopo kwa SMEs, kuongeza wakopaji wa masharti nafuu, na rights issue itakayowapa mtaji wa kujiimarisha.
  • Undervalued Stock
    Hakuna hype kwenye bei, hakuna speculation –ni stock ya “value” siyo “momentum”. Hii ni nzuri kwa mtu anayetafuta kudiversify portfolio na kutulia long-term, siku moja with ten years DCB Shares price itafika 1000 but I think I was wrong hii inafika in less dan dat.
Tuseme you may not buy because of this;
  • Profitability bado ipo low.
  • NPA (Non Performing Assets) ni kubwa – inaonyesha mikopo mingi hairudi.
  • Operating cash flow ni negative – wana kazi kubwa kurecover.

2️ Technical Analysis

  • Strong Support Zone:
    Bei inacheza kwenye support ya TZS 145–155. Hii ni zone ambayo price hupiga chini halafu hupanda tena – so mtu anaweza kuingia kwa low risk entry.
  • RSI iko neutral (~50–60) – haionyeshi overbought wala oversold.
    MACD pia inaonesha bullish crossover – signals kuwa momentum inaweza kuanza kurudi juu.
  • Low Volume = Patience Needed
    Hisa za DSE ni kama kuwekeza shambani – si soko la crypto au forex, unahitaji subira. Lakini ukiingia kwa bei ya chini, upside inaweza kuwa tamu ndani ya miezi 12–24.

Unafaa kununua DCB Shares only if:

  1. Wewe ni Value Investor– unanunua kitu kwa bei ya hasara ili kuuza baadaye kwa faida.
  2. Unatafuta exposure kwenye financial sector ya Tanzania bila kwenda kwenye mabehemoth kama CRDB au NMB.
  3. Una mtaji mdogo – kwa buku na mia tano hivi unapata 10 Shares ambayo ni minimum Shares DSE.
  4. You invest for future (futuristic/future oriented)Unatafuta kupiga faida miaka miaka kadhaa ijayo, you invest to grow not looking for short term profit.

Lakini hii si stock ya watu wa ‘quick money’ au wale wasiopenda kusoma reports. Hii ni ya wenye akili ya second-level thinking – unanunua value kabla soko halijaamka, Trust me kuna siku utaniita mchawi!
So, there you go as of today 05th, August, 2025 price ya DCB ni 160 TZS

Author: RMK Freelancers Agency
Jiunge na channel yetu kujifunza zaidi;
Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street

Wasiliana nami kwa WhatsApp: +255737450640


Soma pia...
 
Yaani niiache CRDB ambayo is well performed kwa bei 1200 leo et nikimbilie DCB then nisubiri kwa miaka 3 😀 😀 😀 sasa hiyo miaka mitatu CRDB si itakuwa kwenye levo za mbali sana. Anyway, kupanga ni kuchagua ila kwa mtu ningemshauri anunue CRDB the divident atakayoipata akanunue DCB. HIZI BANK NDOGONDOGO HAZIAMINIKI
 
Yaani niiache CRDB ambayo is well performed kwa bei 1200 leo et nikimbilie DCB then nisubiri kwa miaka 3 😀 😀 😀 sasa hiyo miaka mitatu CRDB si itakuwa kwenye levo za mbali sana. Anyway, kupanga ni kuchagua ila kwa mtu ningemshauri anunue CRDB the divident atakayoipata akanunue DCB. HIZI BANK NDOGONDOGO HAZIAMINIKI
Nafikiri hujaelewa, au hujasoma uzi wote.

Nunua CRDB ambayo ni 1200, kupata shares 10 ni 12,000.
Nunua shares za DCB 160 shares 10 ni 1600.

Kupata shares 100 za crdb unahitaji 120,000
Kupata shares 100 za dcb ni 16,000.
Kama una uwezo wa kuikimbiza crdb sawa nenda nayo. Ila kwa ambae ana kipato cha kawaida na anampango wa Kuwekeza kwa muda mrefu, DCB Ni nzuri kwa kuzingatia hoja hapo.
Ndio maana nikaeleza wazi kuwa hii kampuni sio ya watu wanaotaka gawio mwaka huu, au wanaotaka pesa ya haraka ni kwa ajili ya hodler, long-term investors, patient stakers, watu ambao ni future oriented, na kiufupi wewe unafurahia price ya crdb ikiwa kwenye 1200 wapo wenzako waliwekeza ikiwa kwenye 200 na hao leo wana capital gain ya 1000, wangekuwa na mindset
Kama yako wasingewekeza, walichambua wakaona future wakawekeza leo wanakula matunda. Real investment sio ya kuweka pesa ule kesho you gotta hold, gee.
Be smart!
 
Ila vijana wa Tanzania hamna hata akili za kawaida aisee. Sasa hapa anafanyia market DSE au DCB?
Toka lini uliona kampuni inapiga promo share zake?
Hajakwambia utumie DCB Ametoa Uchambuzi kwa mtu ambae anaweza au anampango wa kununua hisa.
Kwani hawezi tumwa ama lipwa.
Kuna guarantee Gani kuwa hicho alichoongea kina ukweli
 
Nafikiri hujaelewa, au hujasoma uzi wote.

Nunua CRDB ambayo ni 1200, kupata shares 10 ni 12,000.
Nunua shares za DCB 160 shares 10 ni 1600.

Kupata shares 100 za crdb unahitaji 120,000
Kupata shares 100 za dcb ni 16,000.
Kama una uwezo wa kuikimbiza crdb sawa nenda nayo. Ila kwa ambae ana kipato cha kawaida na anampango wa Kuwekeza kwa muda mrefu, DCB Ni nzuri kwa kuzingatia hoja hapo.
Ndio maana nikaeleza wazi kuwa hii kampuni sio ya watu wanaotaka gawio mwaka huu, au wanaotaka pesa ya haraka ni kwa ajili ya hodler, long-term investors, patient stakers, watu ambao ni future oriented, na kiufupi wewe unafurahia price ya crdb ikiwa kwenye 1200 wapo wenzako waliwekeza ikiwa kwenye 200 na hao leo wana capital gain ya 1000, wangekuwa na mindset
Kama yako wasingewekeza, walichambua wakaona future wakawekeza leo wanakula matunda. Real investment sio ya kuweka pesa ule kesho you gotta hold, gee.
Be smart!
Share ununuzi wake kuna limit ya idadi?
 
Ndio maana kama hujui kaa kimya, hizi ni financial markets analysis!
Sasa hizo analysis mbona haweki angalizo. Akatoka mtu akaweka mamilioni ya mamia baadaye zikashuka inakuwaje.
Yeye kwani ni certified financial advisor
 
Back
Top Bottom