Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
Anadhan ni rahisi tu kama kwenda chooni na kupuuSema nini, sometimes kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
Salt!Sema nini, sometimes kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
Abee MonacoSalt!
Uvumilivu nao unahitajika japo una kikomo chake, ukisema kuacha unahamia kwingine utaacha wangapi make unakotoka unakokwenda kote kuna mapungufu, tena mara nyingine unapopaacha pana unafuu kuliko unapoenda ni vile tu huwa hatuthamini tukiwanavyo hadi tuvikose ndo tunajua umuhimu.Anadhan ni rahisi tu kama kwenda chooni na kupuu
Kweli kabisa Salt ,,unapopaacha panakuwa na unafuu mkubwa kuliko unakoenda unaweza jikuta moyo unatanuka kisa li mtuUvumilivu nao unahitajika japo una kikomo chake, ukisema kuacha unahamia kwingine utaacha wangapi make unakotoka unakokwenda kote kuna mapungufu, tena mara nyingine unapopaacha pana unafuu kuliko unapoenda ni vile tu huwa hatuthamini tukiwanavyo hadi tuvikose ndo tunajua umuhimu.
Huyo mwengine akileta tena zogo ?Wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka
utapata mwingine ambaye atakulea nakukuhendo maisha ni furaha sio karaha.
Uwe na consistency unapotoa nasaha zako!
Sisi tuna mapungufu, wenzi wanamapugufu... Tuvumiliane kadri ya uwezo.Kweli kabisa Salt ,,unapopaacha panakuwa na unafuu mkubwa kuliko unakoenda unaweza jikuta moyo unatanuka kisa li mtu
Aisee mwanamke wa tatu mwenye maarifa kuwahi kutokea katika maisha yangu. Hivyo wewe utakuwa miongoni mwa wanawake wachache wenye maarifa walio baki dunia hii Believe me.Mmh. Hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako. Ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.
Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungunzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
Ahsante sana MkuuAisee mwanamke wa tatu mwenye maarifa kuwahi kutokea katika maisha yangu. Hivyo wewe utakuwa miongoni mwa wanawake wachache wenye maarifa walio baki dunia hii. Believe me.