ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,568
Habari wapendwa
Kwanini unasumbuka na unene uliopitiliza ama kuwa na kitambi ambacho unaweza kukiondoa
Slimmingi tea ni majani ya chai ya asili yana uwezo wa kupunguza kitambi chako na kukupa afya njema na antilipemic tea ni majani ya chai yana uwezo wa kuyeyusha mafuta ya ziada mwilini na kutoruhusu mafuta hayo kuhifadhiwa kwa wingi. Yana madini ya cafein, vitamin b1 na c kwa ajili ya kusaidia kuyeyusha mafuta na kupunguza unene.
Ni njia rahisi ya kupunguza unene kwa watu kama wasanii, wanaotarajia kufunga ndoa, wanamitindo na wenye vitambi vikubwa na yeyote anayehitaji kupunguza uzito kwa njia nzuri, salama na ya haraka zaidi
Melatonin
Kwa wewe unayesumbuliwa na kukosa usingizi kwa muda mrefu sana na huoni utatokaje kwenye tatizo hilo ipo lishe ya melatonin capsule huzalishwa na mwili katika sehemu ya ubongo. Kadri mtu anavyokuwa kiwango cha kuzalishwa mwilini pia kupungua matumizi ya melatonin husaidia kuongeza vitamin b6 katika mwili. Kwa pamoja vitamin b6 na melatonin husaidia kuleta usingizi (baby like sleep) kwa wasiopata usingizi (insomnia) wanaolala na kuzongwa na ndoto kali au huamka mara kwa mara wakiwa usingizini na kupelekea kukosa usingizi lishe ya melatonin husaidia kuweweka vizuri na kukufanya upate usingizi mzuri
Mawasiliano:
Kituo kipo tanesco mikocheni kinaitwa eternal international biotechnology
(tanzania branch). Kawe dar es salaam
Jinsi ya kufika kituoni hapo:
Panda mabasi yaendayo kawe shukia chama vuka barabara fuatisha barabara ya zege mwisho utakutana na bendera za blue upande wa kushoto ndo hapo hapo
Namba ya appointment ni hii : 5578730
Tupigie no. Cell: 0653 287784
Utafanyiwa massage bure/ na kupata vipimo na ushauri bure karibu kwa huduma zetu ni nzuri na utafurahia.
Natural nutrition makes you healther