Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 473
mimi kwa kweli naogopa,just because wanangu watalelewa na nani?lakini nikifikisha miaka 100 hivi,wala siogopi
Kwahiyo kikubwa ni watu au maisha yako unayoacha ndio yanakutia hofu ila sio suala la motoni au peponi?
ni theory ngumu lakini urahisi wake unaweza ukaulinganisha na mfano wa mtoto aliyeko tumboni mwa mama anavyoogopa kuzaliwa ili aje katika hii dunia. Kwanza kwa uelewa wake japo anakuwa na hisia lakini hawezi kujua dunia hii ikoje kama sisi tusivyoweza kujua dunia inayokuja baada ya mauti ikoje!
Mtu kabisa anakula kasumu kapanya na hasemi muwage mnaongea bhnFear of the unknown ndo sababu if you ask me!! Like naweza kulinganisha hii case na maybe this. Imagine kuna vikapu viwili, Kimoja kikiwa na nyoka mwenye sumu kali ya kukuua in seconds huku kingine kiko tupu. Ukipewa option kua ni lazima uweke mkono wako kwenye kikapu kimojawapo, utasita na kuanza kuogopa not because of the poisonous snake(this comes later) maana unajua one of the choice is safe so biggest fear inkua ni kutokujua which busket has the snake. Binadamu ni kiumbe anaetaka kujua whats going on around him mda wote, na ukitaka umtese more ni umfiche na kumwacha hajui wats going on. Ukirudi kwenye kikapu hapo fear anayokua nayo mtu mwenye option mbili inakua ni tofauti na yule atakaeekewa kikapu kimoja tu chenye nyoka, ye anajua wats the outcome and goes in prepd tofaut na wa kwanza. So the biggest fear is not knowing what comes and that if you make a wrong choice you're doomed! Thats wat i think
Wataishi tu. Ndio utakapogundua kuwa pengo lako linazibika kwa haraka sana. Tukishakufa hatuna tena umuhimu zaidi ya wale walio hai.Miye naogopa nitakaowaacha sijui wataishije.
Hata mkiwa maskini anaogopa kufa, ana raha gani inayofanya asiogope kufa?Mi nadhani wengi sio wanaogopa, bali hawataki kuziacha raha za dunia hii.