Umejiandaa na hiyo hali? Ya kuacha wategemezi wajetegemee wenyewe?naogopa kufa nikifikiria unachimbiwa chini na mchanga juu hmmm...inatisha. halafu pia naogopa kama nitakuja kufa halafu niache watu ambao wananitegemea uwepo wangu...nahisi kama watapata shida...kila siku naomba Mungu kama nitakufa basi nisiache mtu ambaye ananitegemea niache watu ambao wako tayari kujiangalia wenyewe hata kama nikiwa siko
nadhani hiyo hali ikifika kila mtu anakuwa yuko tayari kwa kujiandaa nayo tatizo muda na mazingira...binafsi sina mtu ananitegemea kwa sasa lakini katika akili yangu hiko kitu kipo...Umejiandaa na hiyo hali? Ya kuacha wategemezi wajetegemee wenyewe?
Au kuwe na levels mbalimbali.Natamani tungekuwa tuna kufa mara mbil.
Ukifa mara ya kwanza inakuwa kama onyo,ukishindwa kujirekebisha na kufa mara ya pili ndio iwe nitolee mazima.
Kwa hiyo kama ukijirekebisha maisha yaendelee milele baada ya kurudi mara ya pili???Natamani tungekuwa tuna kufa mara mbil.
Ukifa mara ya kwanza inakuwa kama onyo,ukishindwa kujirekebisha na kufa mara ya pili ndio iwe nitolee mazima.
Ukisha ogopa chanzo cha kifo ndo kuogopa kifo chenyewe,kama huogopi kifo hata chanzo usiogope maana kufa kufa tu.Vizuri. Hutakiwi kuogopa kufa ila ogopa chanzo cha kifo.