Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
hahaha tuwape break kidogodronedrake tuwaambie au tuwaache??
Hakuna kuremba ishi na mwanamke ila kataa ndoa kijana , afya yako ya akili ni muhimu kuliko ndoa.hahaha tuwape break kidogo
Shemej kakufanyaje aisee? Funguka tu itakusaidia kutoa yaliyokukaba kifuani na kuepusha sonona.Watu wanaonewa Sana kwenye ndoa.Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].
Pole sana bwana AmosWatu wanaonewa Sana kwenye ndoa.Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].
Mpe muda Kuna siku atabadirikaWatu wanaonewa Sana kwenye ndoa.Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].
Kijana ambaye ni mwanaume aliyekamilika hawezi toa wazo kama hilo....labda sasa tuseme wamama tushapata hasara eee Mungu wangu😭😭😭😭😭Kwanza Kwa nini uoe?
Si waachane tuWatu wanaonewa Sana kwenye ndoa.Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku unaombwa msamaha na kupigiwa magoti Kwa kosa ulilofanya wewe mwenyewe.So sad [emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24].