Kwanini unamchukia microsoft edge! !

Kwanini unamchukia microsoft edge! !

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
images%20-%202023-10-28T152241.656.jpg


Hivi kwanini watu hawapendi kutumia Microsoft edge kuliko google chrome??

Unajua wanachokifanya Microsoft edge Sasa

Kampuni ya Microsoft kupitia program yao ya Microsoft Kwa muda Mrefu wameweka mfumo wa watu kuweza kutoa maoni Kwanini watu wengi wanatumia Google chrome badala yao.

Kama ukiwa unatumia window 10 au 11 alafu ukafungua program ya Microsoft Edges ukiwa unapakua program ya Google chrome ndani yake Kuna ujumbe unatokea Kwenye page ya Google chrome wanakuomba usiache kutumia Microsoft edge.

Microsoft wameamua kuandaa survey kwa watu kwa kutoa maoni yao Kwanini watu wengi wanatumia program ya Google chrome badala ya Edge ili waweze kujua mapungufu yao waweze kutatua.

Unatumia program gani Microsoft edge au google chrome ??
 
Yakidwanzi Sana mkuu... haivumiliki, bila kale ka IT chuprichupri kuiweka default ya Outlook nisingeitumia kabisa.
 
Swala la kusave si mpk uruhusu ni uchaguzi eti...
Yes,Ila hata ku download documents za ofisi inakubali kupitia chrome but Ku view hiyo documents haikubali it's seems chrome ni too risky for cyberattacks I guess
 
Kabla ya kuanza ku browse kwa PC mpyaau simu ambazo hazina Chrome directly installed, basi lazima ni download Chrome kwanza. Edge au Mozilla Huwa najikuta sizipendi muonekano wake tu.
 
Yes,Ila hata ku download documents za ofisi inakubali kupitia chrome but Ku view hiyo documents haikubali it's seems chrome ni too risky for cyberattacks I guess
Nadhani Cyber attacks haijalishi browser.
Ila sites unavisit.
Kuhusu kuopen PDF ni suala la Preferences tu.
Ila zote ni mbaya kwenye hili.
 
Ukifungua tu unakutana na landing page ya news sipend,Pia tunatumia chrome sababu ya email yake imefungamana human za google zaidi ya 10.
 
Yes,Ila hata ku download documents za ofisi inakubali kupitia chrome but Ku view hiyo documents haikubali it's seems chrome ni too risky for cyberattacks I guess
Sidhan kama ni kweli ila tu windows imesetiwa kama huna pdf reader pdf by default zinafungukia kwenye edge unless uchagua open with chrome. So it has nothing to do with security reasons.
 
Microsoft edge ina adds kibao ukifungua tu tayari inafyeka mb's kadhaa za ile news feed inayoslide kushoto na kulia.
 
Back
Top Bottom